Sema ukweli wako

Zipuwawa

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
3,051
653
Heri ya Mwaka Mpya wana JF nashukuru Mungu kwa kutulinda na kuvuka mwaka .....Mungu Ni mwema kwa mema yake aliyotutendea!

Wana JF kwa mwaka Mzima uliopita ni AVATAR gani iliyokuvutia mara uionapo na ni zipi ambazo huwa hupendi kuziona kila ukutanapo katika kuchangia maada mbalimbali? Toa sababu na huku ikiitaja AVATAR hiyo husika.

NAWASILISHA KWENU
 
avatar17682_23.gif
Hapa ukweli nikiiona hii nawaza mbali sana . Hivyo First lady unaweza elezea kwanini uliamua kuweka hii
 
Mkuu Zipuwawa ukweli umeipenda sana ndo maana inakukumbusha mbali, hivyo ni kuendelea kuifurahia badala ya kutaka kujua ameipata wapi inaweza kuondoa radha ya raha tunayopata, ila wape changamoto kina dada wengine kupata picha nzuri kama yake, teh teh.
Kweli ni nzuri ila Halafu ni ya kawaida kabisaaa
 
Boma ni kweli ni nzuri na zipo nyingine nyingi!

Back
Top Bottom