Sema na wewe kwanini?

b2k

Member
Apr 11, 2012
89
52
hebu tujuzane wapenda nini hasa huku mmu, toa sababu hasa kwanini wewe ni mwana mmu.

mfano mimi ni mwana mmu kwasababu napenda tu ku do basi.
 
hili swali labda angeulizwa Asprin na cacico but mimi napenda kwasababu tu napenda kuwashauri watu hasa waliojeruhiwa kimahusiano.
Mi niko hapa kusaka vimwana...

attachment.php
 
mimi najifunza vitu vingi amabavyo sivijui na sidhani kama kuna sehemu nyingine nayoweza kuvipata.
 
  • Thanks
Reactions: b2k
gfsonwin na Asprin mna vituko nyieeeeee, sijapata kushuhudia! khaaaaaaaaaa haya minyaneni mkimaliza mnitaarifu!

shostito hapa nilipo naumwa si unajua mambo ya fungateni lol! tukionana leo utanihurumia aisee. halafu huyu Asprin namwona kama anawivu sana na wewe manake kadai eti atakuja serena nimemwambia awe makinai tu asije ku....................nakumisije sasa?
 
Last edited by a moderator:
Mimi naona niko hapa MMU kufundishwa jinsi ya kupenda..manake sijawahi kupenda!
 
  • Thanks
Reactions: b2k
mimi nipo kuangalia watu wanachukuliaje dhana nzima ya mmu na kutoa ushauri ingawa kila mtu ana staili yake kwenye haya mambo
 
  • Thanks
Reactions: b2k
Mimi naona niko hapa MMU kufundishwa jinsi ya kupenda..manake sijawahi kupenda!

kufundishwa jinsi ya upenda lol! haya tulia na umsikilize mwaalim vizuri lakin kujifunza si lazima ugraduate? utahitimu lini?
 
wewe unaangalia tu na tabasamu lako huwa huchangii? huoni unawanyima wengine akili?
nimesema huwa natoa ushauri pia, ingawa kila mtu ana jinsi yake kwenye mmu; hujaona?
tabasamu muhimu binti wa kike
 
  • Thanks
Reactions: b2k
Back
Top Bottom