Sema maneno machache kuhusu hii picha

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
396940_396003897123704_1971328641_n.jpg
 
Yaani wliambiana twende tukapige picha tukicheza bao na wengine wote wanachekelea ndio research zetu africa
 
"Mzee wa Busara huyo kutwa ashinda kwenye bao. Anabadili tu mikao" Inspector Haroun
 
Mpaka huyu jamaa amalize hiki kipindi tutaona Movie nyingi sana! Nasikia eti kaenda UK kuhuzuria kiako cha uzazi wa mpango! Hivi waziri wa afya yuko wapi asituwakilishe mpaka jamaa aende???
 
Mbona hili si jipya. Kikwete anacheza rede na wajukuu zake pale ikulu, sembuse bao? Huyu mtu hafai kuwa kiongozi. Pale ikulu Nyerere alisema siyo sehemu ya majungu ama starehe, ila utashangaa Kikwete muda wote yupo anachungulia dirishani kuona nani yuko nje akacheze naye. Yaani hapo na hilo bao ndo kafika huyu mshikaji na msishangae akalala hapo hapo na kusahau kuwa huko ikulu wajukuu wanamsubiri kucheza rede. Huyu mtu, basi tu!
 
ninachoweza kusema hapa ni kwamba utumwa ni urithi wetu.............sasa mtu anacheza bao na mke wake watu wazima mnatizama pemben mkikenua kenua tu......
 
Our multi talent presidaa.....Our Putin of Africa

MadameX with all due respect nakuomba uteme mate juu na umtake Radhi Putin na warusi, naomba usilitumie hilo jina vizuri. There is a wide space between them.
 
Last edited by a moderator:
Anasema, "yahee ngonja nile nyumba ya mbele na nyuma, kwa vile mtaji hauna nitakupiga bao nne tu weyeee"
 
hata kama akivaa kama Marehemu Nyerere kama hatayafanya yale Mwalimu aliyokuwa akiyapigania hakuna kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom