Sema la Moyoni

Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,768
3,232
nimejiunga na JF muda si mwingi uliopita naanza kugundua kuwa nimekuwa teja wa jamvi hili kila siku napenda kupitia na kusoma wakati mwingine na kuchangia mawazo hamuoni kwamba nimeanza kuharibikiwa jee dawa yake nini
Nibaki au niondoke
 
Nimejiunga na JF lakini naona shakuwa teja vipi mwenzangu
 
nimejiunga na JF muda si mwingi uliopita naanza kugundua kuwa nimekuwa teja wa jamvi hili kila siku napenda kupitia na kusoma wakati mwingine na kuchangia mawazo hamuoni kwamba nimeanza kuharibikiwa jee dawa yake nini
Nibaki au niondoke

Wakati uankuja hapa hakuna aliyekuita, kwa hiyo kama unaona unaanza kuwa teja ondoka wala hukuwa na haja ya kuaga wala kuuliza.
 
nimejiunga na JF muda si mwingi uliopita naanza kugundua kuwa nimekuwa teja wa jamvi hili kila siku napenda kupitia na kusoma wakati mwingine na kuchangia mawazo hamuoni kwamba nimeanza kuharibikiwa jee dawa yake nini
Nibaki au niondoke

Wakuu thread zingine zinatisha!!sasa ulipojiunga ulilazimishwa?
 
Back
Top Bottom