sema kitu hapa..

Bona_Fide

Member
Sep 15, 2012
59
20
Habari wana-MMU,

Labda hili liko direct sana kwa wanawake, Ivi wewe mwanamke unamchukuliaje mwanaume wakwanza wewe kumpenda? kumpenda hapa nitofautishe na alie kuvunja kikombe(bikra), inawezeka umempenda lakini badae hukufanikiwa kuendelea nae..

Swali: kwenye historia yako huyu bwana wewe unampa nafasi gani moyoni mwako??
 
Anakuwa kawaida tu kwamba alishakuwa mpz wangu bs..kwa upande wangu hana nafasi yoyote kubwa!!!
 
very good thread hii
unaweza kukutana na mwanamke umri above 3o
akakwambia its my first time kupenda
funny kwa kweli
 
very good thread hii
unaweza kukutana na mwanamke umri above 3o
akakwambia its my first time kupenda
funny kwa kweli

LOL, sasa hapo anaweza akawa ni mkweli au vipi? na kama ni kweli wewe uliopendwa for the first time una umuhimu gani kwake? some girls are so funny
 
yaani kwa upande wangu namchukulia kawaida saana, hana nafasi yoyote tena kwangu as far as tushaachana, atabaki tu kuwa mpenzi wa zaman,

niliye naye kwa wakati huu ndio muhimu zaid kwangu...................
 
inadepend kama uliyempata after him anampiga gap ila kama atakuwa kiwango duni bac wazaman aweza kuwa na chance kubwa2
 
yaani kwa upande wangu namchukulia kawaida saana, hana nafasi yoyote tena kwangu as far as tushaachana, atabaki tu kuwa mpenzi wa zaman,

niliye naye kwa wakati huu ndio muhimu zaid kwangu...................

Sawa Nambe umesomeka vema, nimeipenda iyo signature yako naona umeacha nafasi ya stamp kabisa!
 
Last edited by a moderator:
mkuu Maprosoo ishu si goal ngapi bt kufika mlima kibo even goal1 ni mwake 2 cha msingi satisfaction guarantee
 
Last edited by a moderator:
Huyo wa zamani ni goldiga na ndomana siko naye. mla mla leo, mla jana kala nini?
 
Mpenzi wa kwanza atukuwa bongo, wanaweza wafilipino wanaopendana tangu chekechea hadi uzeeni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom