sema chochote kuhusu wanyakyusa...

Wanyakyusa kwao ni Tukuyu, Mwakaleli na Kyela.
Mbeya mjini ni eneo la Wasafa kabila ambalo hudharaulika na wanyakyusa.
Kama kuna tabia za ajabu mlizokutana nazo Mbeya basi mjue hao siyo Wanyakyusa.
Na mkikutana na wenye tabia hovyo mkiwa Tukuyu mjue wahusika ama ni Waandari, au Wakinga, ambao ni makabila madogo majirani na wanyakyusa
 
ujobhile naloli ..ndaga!
 
Juzi wachaga, jana wasukuma, Leo wanyakyusa, kesho wahehe,keshokutwa wagogo,mtondo wafipa, mtondogoo wakwere FOR WOT?Ndo mahal pakufanyia utafit finyu hapa kudescribe unwanted values za KIKABILA?Za2saidia nin ktk jtihada za kujenga u1 we2 ka watz?NONSENSE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom