Sema chochote ''Kinachosadikika''

Inasadikika kuwa Tanzania kujadili siasa muda wote ndiyo jambo la muhimu sana na unaonekana una akili sana.
 
Na kwakua egpty ni chanzo cha ustaarabu inasadikika kua hatutaki kusema Egyptian ni waarabu tunapoongelea hilo bali husema nchi iliyopo bara la Afrika.
SAA iz ndio imekua inawaarabu mwanzo haikua hivo kulingana na location yake inawaafrika,waarabu na waisrael
 
Back
Top Bottom