Kacharimbe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 211
- 34
Kila kitu kinaanzishwa kwa malengo yake. Yawezekana kipindi chake kimewalenga hao unaowalalamikia. Kama vipi anzisha kipindi chako na wewe
Lakini kila mwishoni mwa kipindi huwa anahamasisha watu kutoa MAONI,nadhani katika kuboresha kipindi,kama hataki aseme ,maoni sasa basi na maudhui na malengo ya kipindi haya,hatutomsumbua tena..kiukweli naona kipindi kinapwaya!Kila kitu kinaanzishwa kwa malengo yake. Yawezekana kipindi chake kimewalenga hao unaowalalamikia. Kama vipi anzisha kipindi chako na wewe
Ndugu yangu Selemani Semunyu,kwa nini huelewi,tumeshakushauri mara nyingi kuhusu hicho kipindi chako,kwamba kuhoji hao viongozi wa kiserikali inatosha,jaribu kuwapa watu wengine nafasi ili kubalance stories na kupata taarifa zingine,kila siku ni Wasira na hali ya kisiasa nchin,mara Nagu na Wawekezaji,mara Joka la mdimu na harakati zake za Urais,2015,.INATOSHA..leta makundi mengine sasa mfano Mawaziri vivuli wa CDM,NGO za kisiasa na kiuchumi na hata wachumi....
ITV inajidharirisha na hicho kipindi kwa kumweka mwanahabari asiyejua hata kuwahoji wageni wake studio. The guy basically is shallow in everything.Amka Semunyu, wakati ni huu kuonyesha haupo biased.
Kila kitu kinaanzishwa kwa malengo yake. Yawezekana kipindi chake kimewalenga hao unaowalalamikia. Kama vipi anzisha kipindi chako na wewe
semunyu alikuwa gateman wa membe awali.Si mnamuona hana hata chembe ya sifa za muongoza mjadala achilia mbali mtangazaji
Ndugu yangu Selemani Semunyu, kwa nini huelewi, tumeshakushauri mara nyingi kuhusu hicho kipindi chako, kwamba kuhoji hao viongozi wa kiserikali inatosha, jaribu kuwapa watu wengine nafasi ili kubalance stories na kupata taarifa zingine, kila siku ni Wasira na hali ya kisiasa nchini, mara Nagu na Wawekezaji, mara Joka la mdimu na harakati zake za Urais,2015, INATOSHA...leta makundi mengine sasa mfano Mawaziri vivuli wa CHADEMA, NGO za kisiasa na kiuchumi na hata wachumi....
DK 45 ni Tuambie No.2 ya TBC1 kila Alhamis, huku ITV ni kiini macho, kule TBC si walikuwa wanauliza maswali live wakakimbia wakaona waanzishe dk 45 ili waweze kuedit
Na nyie nanyi hamjui vipindi vya kuangalia? J3 kuna Jenerali Ulimwengu on Channel ten
kweli tuambie kimekufa!!!!!!!duh na kutoangalia tv nako kuna mambo yake,,,,kilikua usiku by saa 3,,,,