Selemani Jafo (CCM) awasilisha hoja ya kupitia upya sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,514
Anawasilisha mawazo binasfi kuhusu sheria mpya za SSRA haswa fao la kujitoa kwenye mfuko husika.
 
Na Mh. Mnyika yeye atawasilisha marekebisho ya sheria ipi? CCM wajanja sana sheria wapitishe wenyewe kwa wingi bado warudi tena kuipinga kwa kuomba irekebishwe.
 
Afadhali. Sasa wataijadili kwa adabu hadi povu liwatoke huku lengo lao likiwa kumpiga bao Mnyika!
 
Kwa kweli leo nimeamini huyu mama huwa anatoa conclusion kinyume na matokea kabisa. Ingawa nimefurahi kuona sheria itapitiwa upya, ILA TO BE SINCERELY, waliosema HAPANA ni wengi kuliko waliosema NDIYO
 
Hahahaaaaaaa kasoma upepo wa nje huku,ashajua kwhyo lazima ijadiliwe tu!
 
Wapuruzi kabisa hawa!
Kwanini hadi watu wagome mitaani na kutishia kuondoka kazini ndipo waonew uzito?
NDIO ubovu wa sheria zinazobagua cadres!
Bunge letu linaendeshwa na matukio zaidi kuliko uzalendo.
Silly season.
 
Mh. Mnyika si ndiye alikuwa akiandaa hii hoja imekuwaje tena?
Labda wamemuwahi tu. Lakini kama nilielewa vizuri, Mnyika ilikuwa alete muswada wa kubadili sheria hiyo na sio hoja ya kujadili mifuko ya jamii.
 
Afadhali. Sasa wataijadili kwa adabu hadi povu liwatoke huku lengo lao likiwa kumpiga bao Mnyika!

Hata mimi nimefurahi, ninachotaka ni matokeo mazuri tu na si political gain itakayopatikana kwa Magamba. Maana ingepelekwa na Mnyika wangeweza kuipinga!
 
Acha wapitie upya..NLITAKA KUACHA KAZI YANGU YA USALAMA ASEEE maana mbele huko ni mbali..tarajio ni mafao ya karibuni ufungue hata kijiwe cha kahwa.
 
Wapuruzi kabisa hawa!
Kwanini hadi watu wagome mitaani na kutishia kuondoka kazini ndipo waonew uzito?
NDIO ubovu wa sheria zinazobagua cadres!
Bunge letu linaendeshwa na matukio zaidi kuliko uzalendo.
Silly season.

You are right, PakaJimmy
 
Hata mimi nimefurahi, ninachotaka ni matokeo mazuri tu na si political gain itakayopatikana kwa Magamba. Maana ingepelekwa na Mnyika wangeweza kuipinga!

Ni kweli ingepelekwa na Mnyika wangeweza kuipinga. Lakini pia labda wengi wasingejitokeza kuipinga hadharani kwa midomo yao kwa kuogopa 'kupigwa mawe" na wananchi huku mitaani lakini, wakati wa kusema NDIYO au HAPANA, yumkini wengi wangeipinga kwa "kura", na hata ikiwa vinginevyo, spika angesema "walioipinga" wameshinda!!!
 
People! Let them play their funny games, FOCUS on what we (people) want. SSRA was about to be used to perpetuate exploitation. We've cornered it. That's a battle won, but the war goes on.
But who's in SSRA? Our very own poor brothers and sisters. Shame on you
 
Kusema ukweli haina maana kwa mbunge wa ccm leo kusimama na kudai sheria ilikosewa sababu ni wao walipitisha kwa wingi wao alafu leo wanakuja kinafiki kinafiki ili tuone kuwa wanawajibika.Wasifikiri kuwa ni ule wakati wa kukubali kila kitu watu wanafikiria na kuchallenge kila kitu sasa hivi.Ni afadhali wangemwachia Mnyika awasilishe.Nitaomba wasilipwe posho sababu ni uzembe ulifanika hasa kwa wabunge wa ccm kupitisha huu mswada.
 
Mnyika amenyang'anywa hoja lakini pia bado tutaendelea kuheshimu juhudi za john mnyika akatika swala hili hatav kama jaffo kuiba hoja lakini vema pia kuenda na m,nyika tutaendelea kumpa moyo ili kuhakiki serikali inaishi kwa woga na kufamnya mambo kwa kusukumwa kama ilivo katika swala hili.
 
Back
Top Bottom