Selelii agoma kurudi Bungeni!?

Status
Not open for further replies.
same, urambo, kyela, nzega, simanjiro, nk. tatizo si mabadiliko ndugu, tatizo ni dhamira iliyo nyuma yenu.... namjua hamisi vizuri sana na dhamira zake pia.... NEED WE GO DEEPER?

Mmmhh kujua dhamira ya mtu kaaazi....nakupongeza kwa kujitokeza hadharani na kutangaza unajua dhamira ya nafsi iliyo nje ya mwili wako
mix with yours
 
anayembip mkeo/mmeo dhamira yake waijua??? kwani mvunja mlango si mwizi huyo??? yaani wewe umekua clueless??.... si lazima unyanyue mkia wa mbwa kuona ****** wake!!!
 
Dont panic ! ..ukweli ni kwamba mtu anaweza akam bipu mkeo akawa na dhamira tofauti na unayoifikiria wewe....si wavunja milango wote wanadhamira ya kuiba....mbwa huna haja ya kumyanyua mbwa mkia kwani eneo la tumbo lake limemaliza kila kitu...huna haja ya kudadisi kuhusu mbwa iko obvious
Kujua dhamira ya mtu ni ngumu ....unaweza ukadhani wote waliokata tickect ya basi la KILIMANJARO wanakwenda mikoa ya kaskazini kumbe kuna alikata ana lengo la kushuka kibaha ila alitaka kuizuga familia yake kuwa anasafari ya kikazi moshi kumbe ana miadi na demu NJUWENI hotel
Moyo wa mwanadamu una mambo ya kufisha.......

Thanks Mkuu, but first of all naomba nikwambie kwamba sijapanic... na pili tayari umezungumzia kuzuga, its really classic

but hiyo dhamira ipo wazi na haihitaji sheikh yahya kufanya mambo yake!!!! i thought kwamba kutangaza nia ni dhamira tosha; na cha zaida ni zile back=packs wanazojipanga nzo ndizo zenye matatizo....

haya bana
 
same, urambo, kyela, nzega, simanjiro, nk. tatizo si mabadiliko ndugu, tatizo ni dhamira iliyo nyuma yenu.... namjua hamisi vizuri sana na dhamira zake pia.... NEED WE GO DEEPER?
Comrade,

Speak out or SHUT UP, kutishia watu you can go deep wakati unashindwa kufanya hivyo ni utoto. Ukishindwa kusema yote hapa JF wapi kwingine utaweza?

Vinginevyo hizi kelele zingine tumezizoea, hata siku moja hazimzuii ng'ombe kunywa maji.
 
ok i shut up!!!! only for now.... wewe hukuwa intern, wewe si kigwangwala na wewe si hamisi wewe hukua na sisi na wewe usihofu kivuli cha mwenzako!!! vipi bana mbona uko nervous???

ile sherehe ya monduli naona ulifaidi eh?
 
Thanks Mkuu, but first of all naomba nikwambie kwamba sijapanic... na pili tayari umezungumzia kuzuga, its really classic

but hiyo dhamira ipo wazi na haihitaji sheikh yahya kufanya mambo yake!!!! i thought kwamba kutangaza nia ni dhamira tosha; na cha zaida ni zile back=packs wanazojipanga nzo ndizo zenye matatizo....

haya bana

haya bosi mie naangalia mechi ya wakoloni wetu hapa .....usiku mwema
 
ok i shut up!!!! only for now.... wewe hukuwa intern, wewe si kigwangwala na wewe si hamisi wewe hukua na sisi na wewe usihofu kivuli cha mwenzako!!! vipi bana mbona uko nervous???

ile sherehe ya monduli naona ulifaidi eh?

Mkuu,

Tupo JF toka 2005 kule Business Times, tumesikia mengi sana.

Ukimtuhumu mtu kuhudhuria sherehe ya Monduli unakuja na ushahidi, au unakuja na picha. Vinginevyo unastahili kuwa Twanga Pepeta kwenye mipasho bila ushahidi kuliko hapa JF where we dare to speak openly.

Kama una facts za huko intern toa, unaogopa nini? Vinginevyo shut up maana huna jipya. Ndio maana waanzilishi wa JF walikuja na hilo neno where we dare to speak openly ili kila mwenye ukweli ajisikie kuwa huru kusema ukweli.
 
Wana JF,

Ni muda mrefu kidogo sijawa na mawsiliano na mtandao huu hii ni kutokana na shughuli nzito ya kuvuna mpunga inayonikabili hapa tongi (Nzega) nimeamua kuandika hili ili basi tuendelee kupata wasaa mzuri wa kutafakari mengi ambayo tumekuwa tukiyajadili kuhusiana na siasa.

Ikiwa ni wiki moja sasa imekatika toka bunge letu tukufu lianze vikao vyake mjini Dodoma katika hali ya kushangaza bado namuona Mh Selelii akiendelea kuhangaika katika jimbo la Nzega na hasa vijijini akiomba msaada wa watu kumuunga mkono ili aweze kurudi mjengoni huku akiwaomba radhi baadhi ya watu ambao anadhani wamemuhama katika kumpigia debe tena mwaka huu.

Mh yupo bize kweli kweli jimboni japo hali yake inazidi kuwa mbaya kila kukicha na katika hali ya kushangaza amekuwa akitoa lugha mbaya za matusi kwa baadhi ya viongozi wa CCM hasa anapogungundua kuwa hawamuungi mkono.

Naomba wote walio karibu na Mh Selelii mshaurini arudi mjengoni tunamuhitaji sana lakini pia nitoe pongezi kwa Dr Kigwangala mbunge mtarajiwa wa Nzega maana amembana kweli kweli Selelii

View za namna hii kwa wabunge ndizo zinazochangia sana kulifanya bunge letu lisiwe na nguvu. Wabunge wakishahindwa kufuatilia mambo muhimu ya kuitaifa eti kwa sababu kama zilizotajwa hapa basi inakuwa ni hatari sana kwa uhai wa bunge kama mhimiri mmoja wa dola, na hivyo kuendelea kudidimza maendeleo ya nchi. Sisemi kuwa Kigwangala hawezi kuwa mbunge mzuri, ila hofu yangu ni haya madai kuwa Kigwangala anatafuta ubunge huo kwa sababu huyu aliyepo alitumia muda wake bungeni kuongelea mambo ya kitaifa sana. Hiyo inakuwa ni hatari sana.
 
same, urambo, kyela, nzega, simanjiro, nk. tatizo si mabadiliko ndugu, tatizo ni dhamira iliyo nyuma yenu.... namjua hamisi vizuri sana na dhamira zake pia.... NEED WE GO DEEPER?

Aliwahi kuwa rais wa serikali ya wanafunzi MUCHS.Mkuu kama unayajua madudu yake basi tuanzie hapo...
 
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!

Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?

Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.

Hongera sana kwa kujitokeza kugombea! Kwa vile nafasi unayotaka kugombea ni ya Ubunge ambao utagusa taifa zima (kwa kupiga kura kwako, kutunga sheria n.k) ningependa kuelewa mambo kadhaa au msimamo wako juu ya mambo kadhaa.

a. Unalichukuliaje sakata la Richmond, Je aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa alitendewa haki na Kamati Teule au la au alionewa?

b. Unaridhika na utaratibu wa kuunda kamati kushughulikia ufisadi wa Benki Kuu katika akaunti ya EPA?

c. Je unaridhika na jinsi serikali imeamua kuficha kuhusu Meremeta na ukiwa Mbunge utafanya nini ili watu wajue ukweli kuhusu kampuni hii?

d. Unakichukuliaje kitendo cha Rais Mkapa kujiuzia mgodi wa Mchuchuma yeye na waziri wake wa Madini? Je avuliwe kinga ili achunguzwe na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake?

e. Je nini kifanyike kushughulikia matatizo ya utendaji kwenye:

- Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
- Tanesco
- ATCL
- TRL

f. Je sheria ya Kuhujumu Uchumi na Mitandao ya Uhalifu itumike kuwashughulikia wanaoshtakiwa na vitendo vya ufisadi? kwanini?

Asante.
 
Heko Dr K kwa ufafanuzi wako.
Sasa ndugu zangu mliokuwa mnamkashifu zyansiku mnasemaje?????
Hivi tunaposema ya kuwa kila mtu ana haki ya kuchagua na/au kuchaguliwa inaishia kwenye maeneo au kwa watu fulani tuu???
Maana humu ndani kuna wana JF wamepofuka kutokana na chuki yao na ccm na kuna wengine wanawawashupalia wanasiasa fulani na iwapo atokeapo mtu akazungumza kinyume na utashi[upenzi wao] basi maneno mazito huvurumushwa dhidi yao.
Ukweli utajidhihirishwa baada ya uchaguzi kwani ninaamini kuwa wengi [siyo wote]waliojitwisha kuwa wapambanaji dhidi ya ufisadi ni wale ambao hawana jipya majimboni mwao na hivyo kung'ang'ania agenda hiyo mithili ya mtu aliyetumbukia mtoni akashika jani la mpapai akiamini kuwa linaweza kumuokoa na kumvusha ukingoni.
VIVA LA DEMOKRASI
 
Huyu mtu vipi? Mbona humsemi Rostam unayeonekana kumpigia debe -- kwa kukosa vikao vingi tu vya Bunge, na pia huwa hachangii katika mijadala wala kuuliza maswali?
Pengine siyo mbunge anayemwakilisha bungeni
 
Hongera sana kwa kujitokeza kugombea! Kwa vile nafasi unayotaka kugombea ni ya Ubunge ambao utagusa taifa zima (kwa kupiga kura kwako, kutunga sheria n.k) ningependa kuelewa mambo kadhaa au msimamo wako juu ya mambo kadhaa.

a. Unalichukuliaje sakata la Richmond, Je aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa alitendewa haki na Kamati Teule au la au alionewa?

b. Unaridhika na utaratibu wa kuunda kamati kushughulikia ufisadi wa Benki Kuu katika akaunti ya EPA?

c. Je unaridhika na jinsi serikali imeamua kuficha kuhusu Meremeta na ukiwa Mbunge utafanya nini ili watu wajue ukweli kuhusu kampuni hii?

d. Unakichukuliaje kitendo cha Rais Mkapa kujiuzia mgodi wa Mchuchuma yeye na waziri wake wa Madini? Je avuliwe kinga ili achunguzwe na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake?

e. Je nini kifanyike kushughulikia matatizo ya utendaji kwenye:

- Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
- Tanesco
- ATCL
- TRL

f. Je sheria ya Kuhujumu Uchumi na Mitandao ya Uhalifu itumike kuwashughulikia wanaoshtakiwa na vitendo vya ufisadi? kwanini?

Asante.

Acheni kupoteza nguvu zenu kwa ndoto zao za...."alinacha"
 
Heko Dr K kwa ufafanuzi wako.
Sasa ndugu zangu mliokuwa mnamkashifu zyansiku mnasemaje?????
Hivi tunaposema ya kuwa kila mtu ana haki ya kuchagua na/au kuchaguliwa inaishia kwenye maeneo au kwa watu fulani tuu???
Maana humu ndani kuna wana JF wamepofuka kutokana na chuki yao na ccm na kuna wengine wanawawashupalia wanasiasa fulani na iwapo atokeapo mtu akazungumza kinyume na utashi[upenzi wao] basi maneno mazito huvurumushwa dhidi yao.
Ukweli utajidhihirishwa baada ya uchaguzi kwani ninaamini kuwa wengi [siyo wote]waliojitwisha kuwa wapambanaji dhidi ya ufisadi ni wale ambao hawana jipya majimboni mwao na hivyo kung'ang'ania agenda hiyo mithili ya mtu aliyetumbukia mtoni akashika jani la mpapai akiamini kuwa linaweza kumuokoa na kumvusha ukingoni.
VIVA LA DEMOKRASI

mkuu soma kwanza post za wenzako, hutajiuliza swali hili.

1) Nashangaa na nitaendelea kuwashangaa wale wote wanaowapuuza wabunge waliotoa mchango mkubwa kwa mambo ya kitaifa. Nashangaa tunapotaka kuwa na wabunge wa design ya Rostam Aziz (anayetekeleza baadhi ya mambo jimboni kwake kwa uwezo/pesa zake lakini hana mchango katika masuala ya kitaifa).

2) dhana ya kuwashambulia, kuwaponda (kama ilivyo dhamira ya zyansiku ni hatari sana kwani itazalisha wabunge waoga kutetea masuala ya kitaifa. You can imagine bila akina Seleli kashfa za EPA, Richmond na Kiwira zisingefika popote. Hoja na Kelele za akina Dr. Slaa na wapinzani wenzake haziwezi kuzaa matunda bungeni bila kuungwa mkono na wana-CCM.

3) Ninawachukia wabunge waliotayari kuhongwa, kutumwa, kutumiwa nk ili kuhujumu Taifa eti wanataka ku-concentrate na masuala ya jimboni kwao, hawa hatuwahitaji. Taifa linapita katika kipindi kigumu cha ufisadi, tunawahitaji wabunge waliotayari kupambana na ufisadi.
 
Hongera sana kwa kujitokeza kugombea! Kwa vile nafasi unayotaka kugombea ni ya Ubunge ambao utagusa taifa zima (kwa kupiga kura kwako, kutunga sheria n.k) ningependa kuelewa mambo kadhaa au msimamo wako juu ya mambo kadhaa.

a. Unalichukuliaje sakata la Richmond, Je aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa alitendewa haki na Kamati Teule au la au alionewa?

b. Unaridhika na utaratibu wa kuunda kamati kushughulikia ufisadi wa Benki Kuu katika akaunti ya EPA?

c. Je unaridhika na jinsi serikali imeamua kuficha kuhusu Meremeta na ukiwa Mbunge utafanya nini ili watu wajue ukweli kuhusu kampuni hii?

d. Unakichukuliaje kitendo cha Rais Mkapa kujiuzia mgodi wa Mchuchuma yeye na waziri wake wa Madini? Je avuliwe kinga ili achunguzwe na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake?

e. Je nini kifanyike kushughulikia matatizo ya utendaji kwenye:

- Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
- Tanesco
- ATCL
- TRL

f. Je sheria ya Kuhujumu Uchumi na Mitandao ya Uhalifu itumike kuwashughulikia wanaoshtakiwa na vitendo vya ufisadi? kwanini?

Asante.
MM, haswa hapo ndio penyewe. Mengi yameongelewa na yamekuwa binafsi mno. Hebu tusikie hoja zake katika hayo ili tujue msimamo wake na tuweze kumpigia debe au kumponda. Na kwa vile alishadhamiria kugombea majibu anayo na hata chukua muda mrefu kujibu.
Vinginevyo akichukua muda mrefu tunaweza kudhani karudi kwa walio mtuma kuomba ushauri ajibu nini
 
ok i shut up!!!! only for now.... wewe hukuwa intern, wewe si kigwangwala na wewe si hamisi wewe hukua na sisi na wewe usihofu kivuli cha mwenzako!!! vipi bana mbona uko nervous???

ile sherehe ya monduli naona ulifaidi eh?

Muhimbili alimaliza mwaka gani? Intern alifanyia wapi? MPH, & MBA yake aliipata wapi na chuo gani or was online? Tunaomba ingawa ka Research/Dissertation yake aweke hapa kwanza kabla ya hayo maswali ya Richmond, ATCL, TANESCO....etc
 
Hongera sana kwa kujitokeza kugombea! Kwa vile nafasi unayotaka kugombea ni ya Ubunge ambao utagusa taifa zima (kwa kupiga kura kwako, kutunga sheria n.k) ningependa kuelewa mambo kadhaa au msimamo wako juu ya mambo kadhaa.

a. Unalichukuliaje sakata la Richmond, Je aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa alitendewa haki na Kamati Teule au la au alionewa?

b. Unaridhika na utaratibu wa kuunda kamati kushughulikia ufisadi wa Benki Kuu katika akaunti ya EPA?

c. Je unaridhika na jinsi serikali imeamua kuficha kuhusu Meremeta na ukiwa Mbunge utafanya nini ili watu wajue ukweli kuhusu kampuni hii?

d. Unakichukuliaje kitendo cha Rais Mkapa kujiuzia mgodi wa Mchuchuma yeye na waziri wake wa Madini? Je avuliwe kinga ili achunguzwe na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake?

e. Je nini kifanyike kushughulikia matatizo ya utendaji kwenye:

- Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu
- Tanesco
- ATCL
- TRL

f. Je sheria ya Kuhujumu Uchumi na Mitandao ya Uhalifu itumike kuwashughulikia wanaoshtakiwa na vitendo vya ufisadi? kwanini?

Asante.

Mzee Mwanakijiji,

Kama hujui majibu wacha mimi nikusaidie kujibu; kama una majibu ila unamtega Dr basi ulegee!

a. Hakuna chombo kinachotenda haki Tanzania, sio kamati ya Richmond, sio Lowassa, sio JK, sio katibu wangu wa kijiji. Kila anyekuwa na nafasdi huitumia kumlima aliye chini yake. Haki itafute huko huko majuu, huku kwetu hata haki ya kufa na kulazwa kwenye kitanda cha milele pia inaweza kunyang'anywa na ukaishia kusua sua Mortuary.

b. Hata kama sijaridhika nifanye nini? Niunde ya kwangu? Hiyo kamati imeundwa na rais, sasa unataka na mimi niwe rais? Mbona Dr. Slaa hajaridhika na amefanya nini zaidi ya kupiga kelele zisizo na majibu bungeni? Maoni yangu kwenye hili hayana maana yoyote, hayakuongezei wewe wala wasomaji wako tonge la ugali wa muhogo. Badala yake yanaongeza chuki tu na kusababisha watu wengi kuchukia na kufa kwa pressure. Mwenye maamuzi haya ni rais wa nchi na bahatii mbaya tulimchagua kwa uzuri wa sura yake na wala sio uzuri wa matendo yake. Hivyo kuridhika au kutokuridhika kwangu nitakuonyesha kwenye kisanduku cha kupiga kura ya rais.

c. Sasa kama serikali imeficha Meremeta, you damn waandishi wa habari! mpo kwa ajili ya nini? Nendeni mkafukue kule walikoficha kisha tuanikieni wote tuone. Sasa unataka mimi nisiridhike na baada ya hapo niende kufukua huo uchafu ulikofichwa? Mimi ni daktari bwana, siogopi kuufutwa uchafu ulikojificha. Huwa nakagua kinyesi, napitisha mkono kwenye ile kitu inayoliwa usiku ili niangalie kama ni nzima au la. Unafikiri nitashindwa kutumbukiza kono langu kwenye hii chafu chafu ya Meremeta?

d. Aafadhali amejiuzia yeye kuliko angewauzia wageni. Hivi mzee Mwanakijiji wewe vipi hujui deals za nchi hii? Kuna deals kuanzia kwa Matona mpaka kule Ikulu. Leo mimi nimefanya deals zangu tatu, narudi home kama shujaa kwa familia na watoto wangu. Wasio jua deals wamekimbilia Ulaya baada ya hapa kuwashinda. Kwa tulioko TZ, deals ni sehemu ya maisha yetu. Tunazidiana speed tu. Njoo Bongo na ukamatwe pale Morogoro kwasababu gari lako halina fire extinguisher; traffic anakuambia safari hii haipo tena labda utoe 50,000 nikutafutia hiyo kifaa. Utafanya nini?

e. Uza yote hayo kwa makaburu bana! Waswahili tumeroga hatujui kitu chochote. Uliona wapi wenye akili wanakimbia nchi yao ili wakabebe mabox na kuwaachia wageni wanafaidi nchi yao? Watanzania wote bana! ni vichaa, akili zetu kama za yule mbwa, anabweka kwa mbali huku mwizi anapakua asali tu. Tunawaona wezi kwanini tunapigia kelele USA na sio kuja hapa Manzese tushirikiane na akina Dr. Slaa. Kwanini tunaunga mkono vyama hewa ambavyo hata havijazaliwa badala ya kuunga mkono chama kama CHADEMA ambacho kiko miaka mingi hata kama ni cha ukoo? Ukitaka kushiriki unaenda kuoa mjuu wa Mtei, usijali hata ukiwa na mke tayari, sisi hapa mitala inaruhusiwa. Karibu viongozi wetu wote wana mitala, hata mheshimiwa rais ana kamtala kake anavinjari usiku usiku na kwenye facebook yake anaweka busy. Ukisikia mbongo anasema yuko busy, jua anatongoza au anshughulikia totoz! mpya. Walinzi wanaachiwa washughulikie ile mama ya zamani! Zuma style.

f. Hiyo sheria ya kuhujumu uchumi lini ilifanya kazi? Sasa unataka sheria iliyofeli sasa tuitumie kwa mafisadi ili ifeli zaidi? Kwanza mafisadi wote ni marafiki wa raisi sasa unataka mimi nifanye nini? Unataka nikosane na raisi wangu? Hapana bana! hawa mafisadi washughulikieni wenyewe huko mitaani kama mnavyochoma moto vibaka. Mkiwaleta kwetu wabunge tuwajadili, tutawaachia maana ni wenzetu au wametusaidia pesa za kampeni zetu. Chomeni moto huko huko kwenu kwa kutumia njia nyingi. Wengi wao wanapenda ngono, wapelekee totozi wenye ngoma, wengi wanapenda kitimoto, ongezeeni fat humo baada ya muda pressure ipande na kuwaua. Wengi wanapenda miti shamba, ongezeni na ile mionzi ya Warusi.
 
mkuu soma kwanza post za wenzako, hutajiuliza swali hili.

1) Nashangaa na nitaendelea kuwashangaa wale wote wanaowapuuza wabunge waliotoa mchango mkubwa kwa mambo ya kitaifa. Nashangaa tunapotaka kuwa na wabunge wa design ya Rostam Aziz (anayetekeleza baadhi ya mambo jimboni kwake kwa uwezo/pesa zake lakini hana mchango katika masuala ya kitaifa).

2) dhana ya kuwashambulia, kuwaponda (kama ilivyo dhamira ya zyansiku ni hatari sana kwani itazalisha wabunge waoga kutetea masuala ya kitaifa. You can imagine bila akina Seleli kashfa za EPA, Richmond na Kiwira zisingefika popote. Hoja na Kelele za akina Dr. Slaa na wapinzani wenzake haziwezi kuzaa matunda bungeni bila kuungwa mkono na wana-CCM.

3) Ninawachukia wabunge waliotayari kuhongwa, kutumwa, kutumiwa nk ili kuhujumu Taifa eti wanataka ku-concentrate na masuala ya jimboni kwao, hawa hatuwahitaji. Taifa linapita katika kipindi kigumu cha ufisadi, tunawahitaji wabunge waliotayari kupambana na ufisadi.

Ushujaa wa wabunge haukuanzia na kina seleli wala hautoishia kwao kwani kulikuwa na wabunge walipua mabomu bungeni ambao kwa sasa wengi wao hawapo bungeni. Kujenga fikra kuwa kina seleli ndiyo pekee wapiganaji dhidi ya maovu peke yao na eti wasipochaguliwa kurudi tenda bungeni basi vita dhidi ya ufisadi itazimika ni sawa na ku-insult inteligence yetu.
Mwisho wa siku siyo JF inayochaguaa wabunge bali ni wananchi ndiyo wenye uamuzi huo.
Sisi kama wanajamii ni jukumu letu kuhamasisha kila anayedhani kuwa anaweza kutuwakilisha vyema bungeni[na kusaidia katika kuleta maendeleo tunayoyatarajia] agombee nafasi za uongozi bila kujali anatoka chama gani. Kuwakebehi, kuwadhalilisha au kuwakatisha tamaa wagombea watarajiwa katika nafasi yoyote ile ni dhambi kubwa isiyosameheka [kudumaza demokrasia].
 
Mzee Mwanakijiji,

Kama hujui majibu wacha mimi nikusaidie kujibu; kama una majibu ila unamtega Dr basi ulegee!

a. Hakuna chombo kinachotenda haki Tanzania, sio kamati ya Richmond, sio Lowassa, sio JK, sio katibu wangu wa kijiji. Kila anyekuwa na nafasdi huitumia kumlima aliye chini yake. Haki itafute huko huko majuu, huku kwetu hata haki ya kufa na kulazwa kwenye kitanda cha milele pia inaweza kunyang'anywa na ukaishia kusua sua Mortuary.

b. Hata kama sijaridhika nifanye nini? Niunde ya kwangu? Hiyo kamati imeundwa na rais, sasa unataka na mimi niwe rais? Mbona Dr. Slaa hajaridhika na amefanya nini zaidi ya kupiga kelele zisizo na majibu bungeni? Maoni yangu kwenye hili hayana maana yoyote, hayakuongezei wewe wala wasomaji wako tonge la ugali wa muhogo. Badala yake yanaongeza chuki tu na kusababisha watu wengi kuchukia na kufa kwa pressure. Mwenye maamuzi haya ni rais wa nchi na bahatii mbaya tulimchagua kwa uzuri wa sura yake na wala sio uzuri wa matendo yake. Hivyo kuridhika au kutokuridhika kwangu nitakuonyesha kwenye kisanduku cha kupiga kura ya rais.

c. Sasa kama serikali imeficha Meremeta, you damn waandishi wa habari! mpo kwa ajili ya nini? Nendeni mkafukue kule walikoficha kisha tuanikieni wote tuone. Sasa unataka mimi nisiridhike na baada ya hapo niende kufukua huo uchafu ulikofichwa? Mimi ni daktari bwana, siogopi kuufutwa uchafu ulikojificha. Huwa nakagua kinyesi, napitisha mkono kwenye ile kitu inayoliwa usiku ili niangalie kama ni nzima au la. Unafikiri nitashindwa kutumbukiza kono langu kwenye hii chafu chafu ya Meremeta?

d. Aafadhali amejiuzia yeye kuliko angewauzia wageni. Hivi mzee Mwanakijiji wewe vipi hujui deals za nchi hii? Kuna deals kuanzia kwa Matona mpaka kule Ikulu. Leo mimi nimefanya deals zangu tatu, narudi home kama shujaa kwa familia na watoto wangu. Wasio jua deals wamekimbilia Ulaya baada ya hapa kuwashinda. Kwa tulioko TZ, deals ni sehemu ya maisha yetu. Tunazidiana speed tu. Njoo Bongo na ukamatwe pale Morogoro kwasababu gari lako halina fire extinguisher; traffic anakuambia safari hii haipo tena labda utoe 50,000 nikutafutia hiyo kifaa. Utafanya nini?

e. Uza yote hayo kwa makaburu bana! Waswahili tumeroga hatujui kitu chochote. Uliona wapi wenye akili wanakimbia nchi yao ili wakabebe mabox na kuwaachia wageni wanafaidi nchi yao? Watanzania wote bana! ni vichaa, akili zetu kama za yule mbwa, anabweka kwa mbali huku mwizi anapakua asali tu. Tunawaona wezi kwanini tunapigia kelele USA na sio kuja hapa Manzese tushirikiane na akina Dr. Slaa. Kwanini tunaunga mkono vyama hewa ambavyo hata havijazaliwa badala ya kuunga mkono chama kama CHADEMA ambacho kiko miaka mingi hata kama ni cha ukoo? Ukitaka kushiriki unaenda kuoa mjuu wa Mtei, usijali hata ukiwa na mke tayari, sisi hapa mitala inaruhusiwa. Karibu viongozi wetu wote wana mitala, hata mheshimiwa rais ana kamtala kake anavinjari usiku usiku na kwenye facebook yake anaweka busy. Ukisikia mbongo anasema yuko busy, jua anatongoza au anshughulikia totoz! mpya. Walinzi wanaachiwa washughulikie ile mama ya zamani! Zuma style.

f. Hiyo sheria ya kuhujumu uchumi lini ilifanya kazi? Sasa unataka sheria iliyofeli sasa tuitumie kwa mafisadi ili ifeli zaidi? Kwanza mafisadi wote ni marafiki wa raisi sasa unataka mimi nifanye nini? Unataka nikosane na raisi wangu? Hapana bana! hawa mafisadi washughulikieni wenyewe huko mitaani kama mnavyochoma moto vibaka. Mkiwaleta kwetu wabunge tuwajadili, tutawaachia maana ni wenzetu au wametusaidia pesa za kampeni zetu. Chomeni moto huko huko kwenu kwa kutumia njia nyingi. Wengi wao wanapenda ngono, wapelekee totozi wenye ngoma, wengi wanapenda kitimoto, ongezeeni fat humo baada ya muda pressure ipande na kuwaua. Wengi wanapenda miti shamba, ongezeni na ile mionzi ya Warusi.
Duuu Broo, huo siyo msumari bali ni nondo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom