Selelii agoma kurudi Bungeni!?

Status
Not open for further replies.
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!

Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?

Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.
 
Mwenye macho haiambiwi ona, mkuu una post 41 zote zinamponda au mkejeli Samwel Sitta na Lucas Seleli. Mwenye macho anaona na kuujua ukweli, fisadis at work!.
Kweli mkubwa tushawastukia hawa jamaa mara nyingi wanakuwa wametumwa ma mafisadi. Bora aendelee kuvuna mpunga tu!
 
Wana JF,
..................................................... .......................

Mh yupo bize kweli kweli jimboni japo hali yake inazidi kuwa mbaya kila kukicha na katika hali ya kushangaza amekuwa akitoa lugha mbaya za matusi kwa baadhi ya viongozi wa CCM hasa anapogungundua kuwa hawamuungi mkono.

Una maana anarudi tena kwa tkt ya CCM? Kama sivyo kwa nini CCM wamuunge mkono? Au kuna taarifa umeshindwa kuiunganisha maana naona huyo Dr unayempongeza kaja na yake akionyesha kana kwamba wako chama kioja na Seleli!

Hata hivyo tangu lini CCM wakaacha lugha ya matusi? Hawa ni wazomeaji kila waendako.
 
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!

Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?

Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.

Wakati mwingine tunasoma maelezo ndani ya JF na kujikuta midomo wazi. Bila furaha, bila hasira. Ingawa kila mtu bora akajibiwa na kupewa ushauri.

Dr Kigwangalla, mbona unamtuhumu Selelii kana kwamba muko chama kimoja? Uko CCJ?

Sikuwahi kusikia niya yako ya kugombea. Leo hii ningeweza kusema jaribu sana kujiweka sawa juu ya sababu yako. Haki ya kikatiba pekee siyo sababu ya kugombea maana hiyo kila mtu anayo.

Vipi mbunge wako wa sasa hafai?
Ulimshauri hakusikia?
Ulimpa maoni hakutaka? au ulikaa kimya kwa miaka 5 ukiwinda afanye makosa ili uwe mtaji kwako?
Kweli hujivunii kuwa na mbunge kama seleli ktk jimbo na Taifa hili?

Maoni yangu ni kwamba, hali ya nchi yetu ilivyo sasa hivi na hasa hiyo cartel system ya CCM, wananchi tunamhitaji Selelii. Usishangae maoni kama haya kuyakuta hata nje ya jimbo lako.
 
Mbona huyo jamaa anakufagilia kitototo? au na wewe akili zako ni zakitototo kama yeye licha ya kuonyesha na MPH, MBa etc etc?
Uongozi hautafutwi kwa njia hizi bwana mbona unaangusha elimu yako.
Seleli nafikiri hajasoma kama wewe, so kama kweli wewe ni bora kuliko seleli baso inyesha hivyo kwa matendo yako na sio hivyo vyeti ulivyopata
 
Wakati mwingine tunasoma maelezo ndani ya JF na kujikuta midomo wazi. Bila furaha, bila hasira. Ingawa kila mtu bora akajibiwa na kupewa ushauri.

Dr Kigwangalla, mbona unamtuhumu Selelii kana kwamba muko chama kimoja? Uko CCJ?

Sikuwahi kusikia niya yako ya kugombea. Leo hii ningeweza kusema jaribu sana kujiweka sawa juu ya sababu yako. Haki ya kikatiba pekee siyo sababu ya kugombea maana hiyo kila mtu anayo.

Vipi mbunge wako wa sasa hafai?
Ulimshauri hakusikia?
Ulimpa maoni hakutaka? au ulikaa kimya kwa miaka 5 ukiwinda afanye makosa ili uwe mtaji kwako?
Kweli hujivunii kuwa na mbunge kama seleli ktk jimbo na Taifa hili?

Maoni yangu ni kwamba, hali ya nchi yetu ilivyo sasa hivi na hasa hiyo cartel system ya CCM, wananchi tunamhitaji Selelii. Usishangae maoni kama haya kuyakuta hata nje ya jimbo lako.

Well said Mchunguzi, hii ni challenge ya maana sana. Sitakubaliana na yeyote anayegombea Urais, Ubunge ama Udiwani asiyetambua mchango wa Seleli kwa walalahoi/wazalendo/tunaoliwa nchi na mafisadi. Ni roho mbaya tena mbaya kabisa kutetea ufisadi wa akina Rostam na kuwaponda akina Seleli. Ni kukosa uzalendo dhidi ya nchi kuwakana hawa jamaa, Seleli ni moja wapo.

Nimependa challenge ulizo orodhesha hapo juu, bravo mkuu.
 
Wakati mwingine tunasoma maelezo ndani ya JF na kujikuta midomo wazi. Bila furaha, bila hasira. Ingawa kila mtu bora akajibiwa na kupewa ushauri.

Dr Kigwangalla, mbona unamtuhumu Selelii kana kwamba muko chama kimoja? Uko CCJ?

Sikuwahi kusikia niya yako ya kugombea. Leo hii ningeweza kusema jaribu sana kujiweka sawa juu ya sababu yako. Haki ya kikatiba pekee siyo sababu ya kugombea maana hiyo kila mtu anayo.

Vipi mbunge wako wa sasa hafai?
Ulimshauri hakusikia?
Ulimpa maoni hakutaka? au ulikaa kimya kwa miaka 5 ukiwinda afanye makosa ili uwe mtaji kwako?
Kweli hujivunii kuwa na mbunge kama seleli ktk jimbo na Taifa hili?

Maoni yangu ni kwamba, hali ya nchi yetu ilivyo sasa hivi na hasa hiyo cartel system ya CCM, wananchi tunamhitaji Selelii. Usishangae maoni kama haya kuyakuta hata nje ya jimbo lako.
Mkuu MchunguZi bravo! maswali murua sana. Tena anatakiwa atufahamishe kwanini asiendelee kulitumikia taifa kwa utaalamu wake aliousomea au hivyo vyeti havifai tena? Maana kwa level hiyo elimu aliyonayo ni kubwa, ukiona mtu anatupilia mbali utaalamu wote huo anaenda kupiga makelele majukwaani inatia wasiwasi. Kama ameshafikia umri na ameshastaafu sitakuwa na haki ya kuuliza hilo, lakini kama bado then kuna shida kidogo.
 
Zyansiku tuongee kuhusu biashara,umevuna gunia ngapi za mpunga? Nataka kuja zinunua mkuu,huku kwenye siasa naona kumekukaa vibaya kiongozi,dili lako waungwana wameshitukia.
 
Ya know what...Politics is always Politics, it depends on how you judge your leaders in different aspects not only just for your own personal feelings, they might be the best leaders for others in your constituency,anyway thanks for bringing it up.
 
Nawashukuru wote mliotoa michango kunihusu na hasa mliolenga maisha binafsi, pili nikupongeze sana Dr kigwangala kwa kujibu post hii nikiomba ukaze buti maana safari bado ni ndefu na wale wenye mawazo kuwa kila anayegombea Nzega katumwa basi pole zao na hasa nikiwajulisha kuwa selelii kurudi nzega kama Mbunge ni miujiuza! maana kabanwa kila kona ndo kwanza kaondoka jana kwenda Dom nadhani kuna mpambe ake humu Jf kampigia simu kibaya zaidi ana ahadi nyingi zisizotekelezeka kwenye maeneo mengi lakini cha kusikitisha zaidi kwa muda wa miaka mitano kuna maeneo hajakanyaga kabisa what do you expect kwa wapiga kura? ametumia miaka mitano kuzungumzia ,asuala ya Rich mond ambayo wana kijiji wa Mwamesu wala hawajui what is Rich mond; kama kuna wanao kereka sana na hili karibu Nzega mumuokoe Ndugu yenu hali yake ni mbaya kupita maelezo. keep it up Dr kigwangala!
 
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!

Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?

Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.

Interesting..

Nataka kuongelea hiyo signature au kaulimbiu yako hii.

Mabadiliko ya kweli yataletwa na sisi...!

Ni mabadiliko gani ambayo unapanga kuyaleta huko Nzega, chama chako, na taifa zima kwa ujumla.?

Tuanzie hapo.
 
Mkuu Doctor Hamisi naomba kwanza tuanze na hizi nondo zako tuzifahamu kinagaubaga, lini na wapi ulizinyaka, thesis zake kama zipo etc ....
A%20S%20tongue.gif
 
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi. Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!

Nyote sawa JF hawadanganyiki

Naomba wote walio karibu na Mh Selelii mshaurini arudi mjengoni tunamuhitaji sana lakini pia nitoe pongezi kwa Dr Kigwangala mbunge mtarajiwa wa Nzega maana amembana kweli kweli Selelii

Hizi chai za mfa maji
 
Nawashukuru wote mliotoa michango kunihusu na hasa mliolenga maisha binafsi, pili nikupongeze sana Dr kigwangala kwa kujibu post hii nikiomba ukaze buti maana safari bado ni ndefu na wale wenye mawazo kuwa kila anayegombea Nzega katumwa basi pole zao na hasa nikiwajulisha kuwa selelii kurudi nzega kama Mbunge ni miujiuza! maana kabanwa kila kona ndo kwanza kaondoka jana kwenda Dom nadhani kuna mpambe ake humu Jf kampigia simu kibaya zaidi ana ahadi nyingi zisizotekelezeka kwenye maeneo mengi lakini cha kusikitisha zaidi kwa muda wa miaka mitano kuna maeneo hajakanyaga kabisa what do you expect kwa wapiga kura? ametumia miaka mitano kuzungumzia ,asuala ya Rich mond ambayo wana kijiji wa Mwamesu wala hawajui what is Rich mond; kama kuna wanao kereka sana na hili karibu Nzega mumuokoe Ndugu yenu hali yake ni mbaya kupita maelezo. keep it up Dr kigwangala!

Zyansiku unajua kwanini Selelii ameshindwa kutimiza ahadi zake, well Selelii kama mbunge ana jinsi mbili za kutekeleza ahadi zake, moja ambayo ni kubwa sana ni kuwakilisha matatizo yenu serikalini na kuishawishi serikali itatue hilo tatizo, njia hii naamini kabisa na wote ni mashuhuda Selelii amejitahidi sana kuwakilisha kilio cha wana Nzega bungeni, lakini ni nani walioshika mpini.. kama hujui ni mafisadi, na ndio walifanya kusudi kutotatua matatizo ya wana nzega ili wamdhoofishe selelii, na kwa taarifa yako sio nzega tu kilio kama hiki kipo pia kule kyela kwa Harrison. Njia ya pili ambayo Selelii angeweza kutimiza ahadi yake ni wakuwashirikisha ninyi wananchi wa nzega, na amefanya hivyo lakini kwa kuwa nzega ina watu kama wewe Zyansiku na watu wasio wazalendo kama Dr Kigwagalla wabinafsi ambao hamkutaka kuchangia mawazo yenu kwa maendeleo ya nzega ndio maana leo unapiga kelele kuwa nzega hakuna maendeleo. Mwisho nikukumbushe tu kama ninyi watu wa nzega hamtaki kumtambua selelii kama shujaa wa waTZ kwa sababu tu hamjui Richmond imetufanya nini waTZ, nataka tu nikufahamishe kuwa Sisi wengine huku tunatambua mchango wa selelii katika kutetea mali na rasilimali za taifa hili, kwetu sisi Selelii ni SHUJAA! na najua nabii hakubaliki nyumbani, ila tu nikukumbushe wewe na wenzio wa nzega " A toad recognise the inmportance of water, when the pond dries" !
 
Kumbe posts za JF ni ajira kamili.............ok .......ok ........wacha nami nitafute sponsor!:becky:

Mkuu unaonaje ukianzisha blog yako kuwakandia hawa mabwana?
 
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!

Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?

Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.

Utaleta mabadiliko pia, hilo naamini. Lakini kwa nini unataka kuleta mjengoni? Kwa nini usitusaidie kwenye field yako, nchi hii badi iko nyuma katika afya, tuna upungufu mkubwa madaktari kama wewe. Usiwe kama mzee wetu Sarungi bana!!!

FYA, hapa kuna watu makini tu, tena sana. Nemesis ameconnect dots na kumgundua kibaraka Zyansiku!! Anadhani kuwa amejiunga siku nyingi na kutuma post chafu kwa watu mahiri kwa nyakati tofauti tutamsalimisha; kama amechoka kuvuna mpunga akalale. Suala la Seleli linamhusu nini!!!!
 
Nawashukuru wote mliotoa michango kunihusu na hasa mliolenga maisha binafsi, pili nikupongeze sana Dr kigwangala kwa kujibu post hii nikiomba ukaze buti maana safari bado ni ndefu na wale wenye mawazo kuwa kila anayegombea Nzega katumwa basi pole zao na hasa nikiwajulisha kuwa selelii kurudi nzega kama Mbunge ni miujiuza! maana kabanwa kila kona ndo kwanza kaondoka jana kwenda Dom nadhani kuna mpambe ake humu Jf kampigia simu kibaya zaidi ana ahadi nyingi zisizotekelezeka kwenye maeneo mengi lakini cha kusikitisha zaidi kwa muda wa miaka mitano kuna maeneo hajakanyaga kabisa what do you expect kwa wapiga kura? ametumia miaka mitano kuzungumzia ,asuala ya Rich mond ambayo wana kijiji wa Mwamesu wala hawajui what is Rich mond; kama kuna wanao kereka sana na hili karibu Nzega mumuokoe Ndugu yenu hali yake ni mbaya kupita maelezo. keep it up Dr kigwangala!

Zyansiku,
Sijui kama Daktari anakutumia wewe kama mpambe au mshauri wake. Binafsi napenda sana mwana JF mwezetu aonyeshe uwezo wake na apate anachokitaka kwa uwezo. Hatupo hapa kuwa-challenge watu tuuu, au kuonyesha elimu zetu na nadhani ndo umuhimu wa kuwa anonymous maana kuna watu watatutisha kwa vyeti na tutajiona wanyonge kwao.

Kitaifa Selelii ni icon na ni heshima kwa Nzega kumuleta mtu kama huyo Bungeni. Unasema huko jimboni Selelii hajatimiza ahadi zake. Sijafahamu ni ahadi zipi. Hayo ni yenu wana-Nzega. Sasa unamleta Daktari ajaribu. Nasema ajaribu maana ni untested candidate. Anaweza kuwa safi kuliko Selelii lakini mbinu unayoitumia siyo nzuri. Unakataa yoote aliyoyaweza Selelii!

Tatizo la Nzega siyo lenu pekee. Na siyo la selelii maana michango yake Bungeni tuliiona. Yeye kama Mbunge alitimiza wajibu wake wa kuwasilisha matatizo ya wananchi na wengine tulitamani tuwe na mtu kama huyo. Aliyeshindwa kujali ni serikali. Naomba kabisa uichukie serikali ya CCM kwa kutomsikiliza selelii.

Tatizo lako unamchukia selelii kana kwamba angeleta hayo unayoyataka bila kuwa na serikali sikivu. Lakini, umeisikia bajeti yetu kwa mwaka huu? Nzega mumesikilizwa? Nani achukiwe?

Dr kigwangala, chukuwa tunayoyasema na unayodhani yanafaa. Ogopa sana ushabiki maana hakuna mwanasiasa asiye na shabiki. Mtaji wako isiwe ni kumudhalilisha Selelii. Huyu mtu ana heshima zake.
 
Well said mkuu, na kwa kuonyesha QFN zako Dr ulikuwa na maana gani?
Zyansiku ameonyesha wazi wewe ni mgombea mwenye mrengo upi!! "Kusifia sana RA kusimikwa ukamanda". We all know what and who RA is!! Amehusishwa kwa kiasi gani kwenye mdudu lukuki ya serikali hii ya awamu ya nne. Leo unajifanya... and i wonder if you this is really your conscious, kuwa huoni Serelii amefanyia nini taifa hili.

Kama wasomi wenyewe ndo kama akina nyinyi basi tumekwisha. Dr. tunakuhitaji sana kwenye field acha hii maneno chafu. Unadhalilisha...
 
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!

Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?

Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.

Heshima kwako Dr Hamis K,

Kwanza nakupongeza kwa maelezo mazuri.
Naomba maelezo ya kina ni kitu gani kimekusukuma kugombea jimbo la Nzega na kuacha kugombea majimbo mengine kama Igunga au Tabora Mjini na nk.
 
Ahsante sana Zyansiku kwa kunifagilia na kunipa pongezi.
Wengine wanadhani mimi na wewe tuna ubia, naomba tu kusema hapa kwamba sikufahamu wala sijawahi kuwasiliana na wewe wala kujadili lolote lile kuhusu azma yangu ya kuwania Ubunge Nzega! Naomba tu pia niwataarifu ndugu zangu wanaJF kwamba mimi sina ubia na mtu yeyote yule katika harakati zangu za kuwania Ubunge, sijaombwa na wazee, sijatumwa na mtu yeyote yule - ila ni nafsi na dhamira yangu pekee iliyonituma kuutafuta Ubunge wa Nzega!

Jimbo la Nzega lina mtego tu kwamba yeyote atakayejitokeza kugombea basi atadhaniwa kuwa ametumwa na mtu, hususan akiwa na ushawishi na anakubalika zaidi ya Selelii! Hili lilijitokeza hata pale nilipoamua kutangaza nia yangu kwa umma kupitia vyombo vya habari, pale Habari maelezo! Hili linakuja kutokana na Selelii kujipambanua kama ni mbunge shupavu anayepambana na ufisadi! Wengi wanakuja kufikiri kwamba jimbo la Nzega lina maslahi ya watu fulani wanaoitwa mafisadi...na kwamba yeyote anayempinga Selelii basi anaungwa mkono na au ametumwa na hawa watu.....and this is a big misnomer! Kugombea Uongozi ni haki ya kikatiba ya kila Mtanzania, na hatuwezi kuliacha jimbo chini ya Selelii kwa kuhofia kusemwa tumetumwa! Tayari kuna watu zaidi ya watano wamekwishatangaza nia ya kuwania Jimbo la Nzega. Hivi wote hawa ni vibaraka wa mafisadi?

Regards,
Dr. Hamisi Kigwangalla.

Safi kabisa!!! Kata mzizi wa fitina
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom