Selection Kujiunga Form 5 zimetoka?

pgasper

JF-Expert Member
May 21, 2012
311
70
Zikitoka znaanikwa kwenye website?
Ya NECTA au Wizara ya Elimu?
Nauliza hivi bcoz niko nje ya nchi hadi September na nina kidbrother kwa sasa yuko bush country anasubir selection kama atapata.
Asanteni kwa ushirikiano.
 
Kwani ulipata ngapi?
 
kikete.jpg
 
Zikitoka znaanikwa kwenye website?
Ya NECTA au Wizara ya Elimu?
Nauliza hivi bcoz niko nje ya nchi hadi September na nina kidbrother kwa sasa yuko bush country anasubir selection kama atapata.
Asanteni kwa ushirikiano.

Uko UK(Ukerewe) au uko kwa Obama (Rorya)
 
Watu wakishakuwa nje ya nchi wanajidai hawajui mambo ya kwao! Ww selection zako ulizionaje?? We unafikiri zaidi ya kuwekwa kwenye hizo website mbili zitawekwa kwenye facebook au kwenye web ya wizara ya afya???
 
yan hii nchi majanga ma2pu sasa -hawa form 5 -wataripot lini au ndo mpaka waende jkt
 
Private washaanza kupiga msuri sasa sijui yeye mpaka muda huu anasubiri nini home au ndo kusema hana hela ya private?
 
Aaaaah kweliiiiii!!!!!!!! mi nisha zila ata wakizileta mwakan poa tu!!! ila sijajua tutazpata vp izo post ze2
 
Uwakika labda wiki ijayo, otherwise tuisubirie tu serikali sikivu teh teh!
 
M nlishakataga tamaa wakae tu na hizo posts zao sijawahi kuona wizara uozo kama hii.
 
Back
Top Bottom