"selection kidato cha tano 2011"....!!!!!????

Jilanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
255
40
Inasemekana selections za wanafunzi wanaotaraji kujiunga kidato cha tano April mwaka huu zitatoka siku chache zijazo! Ikumbukwe kwamba ni 12% tu! Ndo wenye sifa ya kuendelea na kidato cha tano {5} wakati huo 88% hawana vigezo vya kuendelea na kidato cha tano! Pamoja na idadi ndogo sana ya waliofaulu, Je kuna shule hazitapata wanafunzi wa kujoin kidato cha tano? Ikiwa shule tulizo nazo zinatosheleza hiyo idadi ndogo! Je wangefaulu 50% wangepelekwa wapi? Tulijenga shule za O'level kila KATA pasipo kuongeza A'level! Je hii piramidal shape ina Logic gan kwa Watanzania? Je nikisema Matokeo yako Kisiasa zaidi ntakosea? MUNGU IBARIKI TANZANIA! {DA REAL PATRIOT}
 
Back
Top Bottom