Selected students (algeria scholarship)

huko umepotea jembe embu tafuta humu ndani kunapost moja wenzako wa algeria wa mwaka jana waliitoa wanailalamikia heslb kuwasahau na kutowajali yaani wanakufa njaa huko na madeni sikukatishi tamaa ila kama heslb ndo wana wafadhili kabla haujaenda jipange vyema..
 
Sizungumzii kuhusu heslb nazungumzia elimu ya algeria nzur au sio... Basii
 
Wala si exchange program. Tena wapo wanapewa scholarship na serikali ya Algeria na wapo wa bodi ya mkopo ya Tanzania

Na wanakwenda wengi kwa mkupuo

Duh! Mwishowe tutaanza kupeleka wanafunzi Chad, University of N'Djamena.

Wewe umesoma huko?
 
Yaani tunapeleka wanafunzi wetu kwenda kusoma Algeria?

Wow!!

Unaongea kwa kufahamu ama kwa hisia?....Algeria imekuwa ikipokea wanafunzi toka enzi za nyerere....By the way inapokea wanafunzi kutoka karibu kila nchi afrika hata middle east tena mamia kwa mamia....
 
Back
Top Bottom