selebriti bungeni

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Nilikuwa napitia website ya bunge kuacheki maselebriti wetu, nikaona huyu mmoja akanivutia na kunishangaza,

WHO IS WHO
Honourable Ngasongwa , Dr. Juma A. [CCM]

Ulanga Magharibi Constituency
Questions(0)
Supplementary Questions(0)
Contributions(3)

Alikuwa amesafiri?
 
Huyu jamaa ana hatari,wangeweka na attendace.Tunaweza kumlaumu bure kumbe hata kuhudhuria kwenyewe haudhulii.
 
Nilikuwa napitia website ya bunge kuacheki maselebriti wetu, nikaona huyu mmoja akanivutia na kunishangaza,

WHO IS WHO
Honourable Ngasongwa , Dr. Juma A. [CCM]

Ulanga Magharibi Constituency
Questions(0)
Supplementary Questions(0)
Contributions(3)

Alikuwa amesafiri?

Haika,
Kama ingekuwa inawezekana, wapiga kura wake wote bora wangeona njinsi wanavyowakilishwa na Mh. wao
 
Nilikuwa napitia website ya bunge kuacheki maselebriti wetu, nikaona huyu mmoja akanivutia na kunishangaza,

WHO IS WHO
Honourable Ngasongwa , Dr. Juma A. [CCM]

Ulanga Magharibi Constituency
Questions(0)
Supplementary Questions(0)
Contributions(3)

Alikuwa amesafiri?
...Haika kwa upeku peku na wewe!!? Honestly hajawatendea haki wapiga kura wake....Nitawasiliana na rafiki yangu mmoja yuko ulanga district council aone hii yawezekana akafikisha ujumbe kwa wapiga kura wa huyo selebriti.....Na huenda amevuta seating allowance zote tangu bunge limeanza....Kuna some figure mi naona ziko outdated mle bungeni wanaenda kwqa mazoea tu lakini hawana kitu wanachoenda kufanya.
 
Jamani mmesahau kuwa huyu alikuwa waziri hadi sunami la mwanzoni mwa mwaka lilipowapitia mawaziri vijeba? sasa mlitegemea waziri aulize maswali ya msingi au ya nyongeza? Someni na za wenzake waliong'atuka naye kama Mramba, Kingunge na meghji kuona kama wao wameuliza maswali yoyote!
 
Nilikuwa napitia website ya bunge kuacheki maselebriti wetu, nikaona huyu mmoja akanivutia na kunishangaza,

WHO IS WHO
Honourable Ngasongwa , Dr. Juma A. [CCM]

Ulanga Magharibi Constituency
Questions(0)
Supplementary Questions(0)
Contributions(3)

Alikuwa amesafiri?

I think hapo ungetuelewesha zaidi. Hizo takwimu zimechukuliwa kwa kuzingatia viao vingapi na lilikua ni bunge la ngapi?
Mi nakumbuka huyo Mheshimiwa alikua waziri wa Mipango, Uchumi na Uwezeshaji. Tena alikuwa confident sana akisoma bajeti bungeni.
Maybe he's shy kuuliza maswali.
 
maybe,
wapo wengi tu si yeye tu, ila kwa undani zaidi, na kwa vikao vingapi na alisemanini nenda kajionee mwenyewe kwenye website yao.
Mimi nimekupa motisha tu.
 
duh tukianza wajadili mmoja mmoja kusema kweli tutapata ukichaa ni bora tutumie tu ile kauli ya tufunike makombe.....
maana nadhani ndio nchi pekee duniani ambayo inafikia stage ya kuwa na wabunge wanaolipwa mahela mengi halafu wako eti nchi zingine wakisoma na kujiendeleza kwa kitu ambacho hakieleweki hata na wenzake!

sasa hao wapiga kura 2010 watarudi na kuambiwa na mbunge wao doktari tena kuwa aliwa wakilisha vyeeeeema na atawaomba KULA tena bila aibu wala soni,loooh watu wengine wanahitaji kusutwa aswaaaa....ovyooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom