Selcom paypoint na Max-Malipo ipi ina faida zaidi?

yeto

Member
Aug 23, 2010
59
40
Habari waungwana,

Nina ofisi yangu ya biashara huku mikoani nataka nijiunge na moja ya kampuni hizo Max-Malipo au Selcom paypoint.

Naomba mnijuze ipi ina faida zaidi kwenye vocha, LUKU na huduma nyinginezo
ipi yenye customer care nzuri na yenye future ya kuenea zaidi kwani kampuni za bongo hazichelewi kufa ukabaki na mashine.

Gharama za kujiunga na any hidden cost

Natanguliza shukrani
 
Kwa faida sijajua ila maxcom ni nzuri zaidi kwa sababu unafanyia kazi zote kwa wakati mmoja mashine hiyohiyo..kama m-pesa,tigopesa, airtelmoney,eazypesa,kulipia luku.dstv,zuku,dawasco.kulipia caro za shule,pamoja na airtel rusha,tigo rusha,voda rusha.....nk..masharti yao lazima uwe na leseni ya biashara,na copy ya tin number.na pesa shilingi 520000/-kama dhamana ya mashine yao watakayokupa na tsh.300000 kama mtaji wa kuanzia au zaidi..
 
Jaribu kufafanua kuhusu faida labda kila unapozungusha lakitatu unapata faida ya sh ngapi? Kwa maana selcom kila laki tatu faida ni elfu sita tu. Imekuwa kama huduma tu haina faida kwakuwa ni vigumu kwa uswahilili kuzungusha hata lakimoja kwa siku utakuta inaenda hadi siku mbili tatu laki moja tu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Faida zao zikoje mkuu?
 
Kumbe huu ni unyonyaji mwingine.
Kazi unafanya wewwe malipo anakula mwingine, ujinga mtupu
 
Habar zenu wanajamii! napenda kuuliz tofauti kati maxmalipo na selcom ipo wapi? au na huduma gani inayopatikan kwny selcom n maxmalipo pamoja na bei zake.
 
Kwa faida sijajua ila maxcom ni nzuri zaidi kwa sababu unafanyia kazi zote kwa wakati mmoja mashine hiyohiyo..kama m-pesa,tigopesa, airtelmoney,eazypesa,kulipia luku.dstv,zuku,dawasco.kulipia caro za shule,pamoja na airtel rusha,tigo rusha,voda rusha.....nk..masharti yao lazima uwe na leseni ya biashara,na copy ya tin number.na pesa shilingi 520000/-kama dhamana ya mashine yao watakayokupa na tsh.300000 kama mtaji wa kuanzia au zaidi..
Napateje machine yao ndugu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Habari humu ndani, mwenye ufahamu na hii mashine ya selcom huwa inatoa huduma gan? Na network yake imekaaje? Maana nataka niinunue ushauri kabla sijatoa pesa yangu jamani
 
Kwa faida sijajua ila maxcom ni nzuri zaidi kwa sababu unafanyia kazi zote kwa wakati mmoja mashine hiyohiyo..kama m-pesa,tigopesa, airtelmoney,eazypesa,kulipia luku.dstv,zuku,dawasco.kulipia caro za shule,pamoja na airtel rusha,tigo rusha,voda rusha.....nk..masharti yao lazima uwe na leseni ya biashara,na copy ya tin number.na pesa shilingi 520000/-kama dhamana ya mashine yao watakayokupa na tsh.300000 kama mtaji wa kuanzia au zaidi..
How inafanya kazi za uwakala wa mpesa na airtel money.
 
Back
Top Bottom