Selander Bridge inapogeuka kuwa Gorigota!!

mchajikobe

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
2,652
1,238
Mimi kero yangu ni kuhusu matukio ya kiharifu yanayofanywa na raia mbele ya nyuso za askari pale daraja la Selander bridge,hivi ni kweli vibaka wamefikia kudharau jeshi la polisi kiasi hiki?

Au ni mbinu za mapolisi kujiongezea kipato? sehemu ambayo inastahili ulinzi kama ile ndio sasa imegeuka kuwa chimbo la vibaka na kituo cha kusulubisha watu na mali zao,bora mtuambie kuwa na hicho ni kitengo cha polisi cha kupunguza mali za watu!!
 
Mimi kero yangu ni kuhusu matukio ya kiharifu yanayofanywa na raia mbele ya nyuso za askari pale daraja la Selander bridge,hivi ni kweli vibaka wamefikia kudharau jeshi la polisi kiasi hiki?au ni mbinu za mapolisi kujiongezea kipato?sehemu ambayo inastahili ulinzi kama ile ndio sasa imegeuka kuwa chimbo la vibaka na kituo cha kusulubisha watu na mali zao,bora mtuambie kuwa na hicho ni kitengo cha polisi cha kupunguza mali za watu!!

Una mfano halisi wa tukio lolote lililotokea hapo mahala ili nasi tusaidiane kushangaa?

Hata hivyo Mapolisi hawa wamekuwa ni ze comedy kwa sasa.

Utaona sekeseke siku atakapoporwa mzito fulani...kweli wakati mwingine bora aporwe mtoto wa Kikwete, labda patakuwa na salama kama peponi!...huh!
 
Mie niliwahi kuibiwa side mirrow zote mbili tena nipo nasubiria mataa tu mida ya tisa jioni yani inaudhi kwa kweli acheni tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mie niliwahi kuibiwa side mirrow zote mbili tena nipo nasubiria mataa tu mida ya tisa jioni yani inaudhi kwa kweli acheni tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

tatizo na wewe pozi zako za kidosidosi bana!..........wana lazima wakufanyie tu
 
Ni kweli pale pabaya lakini JEHANAMU ni kinondoni mkwajuni kwenye kale kamteremko embu pita na gari mapema saa 5/6am uone wanatanguliza tairi katikati ya gari ukiyumba tu unao. Ni vizuri tukapewa miguu ya kuku/bastola
 
SALENDA BRIDGE ni hatari..vibaka wanajificha pembeni..juzi nilishuhudia wazungu fulani waliporwa saa na simu na traffic police wanatazama na kucheka!!!!!!!!!!!saa 1.30 asubuhi..nadhani walikuwa walimu wa INTERNATIONAL SCHOLL and you expect foreigners to take a goodimpression of Bongo? vizi mtpu jamani when will you learn not to steal?
 
Mie niliwahi kuibiwa side mirrow zote mbili tena nipo nasubiria mataa tu mida ya tisa jioni yani inaudhi kwa kweli acheni tu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

mhhh so within econds za kusubiri taa ziwake wakafungua side mirrors na wewe umetulia tu....
 
Una mfano halisi wa tukio lolote lililotokea hapo mahala ili nasi tusaidiane kushangaa?

Hata hivyo Mapolisi hawa wamekuwa ni ze comedy kwa sasa.

Utaona sekeseke siku atakapoporwa mzito fulani...kweli wakati mwingine bora aporwe mtoto wa Kikwete, labda patakuwa na salama kama peponi!...huh!
Ndugu inaonyesha we imani yako ipo katika kuona zaidi kuliko kusikia,sasa kama unataka kujua ubaya wa eneo lile,siku moja pita pande zile ukiwa na gari huku madirisha yakiwa wazi,wakati unakalaptop au mobile yako pembeni,within no seconds you will see those wonders!!!
 
Back
Top Bottom