Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,064
- 22,757
You just nailed it! The only opposition we have in Tanzania is of parties that talk about policies they cant impliment and the one whose leaders leave constituencies just that they can acquire fame by running for the president. No reasonable company will invest their money in such parties.The opposition is unstrategic, selfish and naive in the eyes of any mentally-sound citizen. On top of that, companies have eyes - they see just like anyone would see that the chances any of the current opposition party in their current political approaches will ever acquire majority of sits in the parliament or even get close to the state house.so why inject their money in such vain mission?!
ZeMarcopolo, hebu fikiria nafasi aliyokuwa nayo mtu mweusi kutwaa uongozi nchini marekani. Kama Obama angekuwa na msimamo kama huu wako, kweli angethubutu kugombea ? Unaonekana wazi ama umekata tamaa au unajaribu kuwakatisha tamaa wanaotaka mabadiliko hapa nchini. Jesse Jackson alimbeza Obama mwanzoni lakini amekuwa wa kwanza kumwaga machozi ya furaha. I do sure agree that it is an uphill task but just like Obama has proved, nothing is impossible.
Unalaumu upinzani lakini unasahau vizingiti wanavyowekewa na CCM. Je, unakumbuka mikakati ya kuanzisha baraza la wanawake (BAWATA) ilivyopigwa vita na CCM kwa hofu tu ingewaunganisha wanawake bila kujali itikadi zao. CCM inatumia "divide and rule" kama silaha ya kung'ang'ania madaraka - iwe wanawake, vijana, wazazi, mpaka watoto wa shule bila kusahau wafanya biashara. Na kwa kuwa ni vigumu kujua mipaka ya DOLA na CCM inaanzia na kuishia wapi - upinzani umebanwa kiasi cha kukosa hewa ambayo ni muhimu kwa uhai wake.
Lakini kwa kuwa hakuna lisilo na mwisho, naamini CCM kuna siku itapigwa chini na siku hiyo sidhani iko mbali kama unavyofikiria.