Sekretariete mpya CCM, yavuja!

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;

Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula
Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA)
Katibu Mwenezi - Nape Nnauye
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo

TIMU HII IMEKAAJE?.....HASA KWA EL NA CDM
 
it'll be a dream team; hasa wakimrudisha Mang'ula ambaye wamemuacha pembeni. Hilo la Diallo na la Migiro wanaweza kweli kuingia.
 
Hayo ni mawazo yako, Mangula??? Migiro??????? Nope!
 
Walisema Katibu Mkuu atakuwa Ngeleja au Nape (wabadilishane vyeo hao wa 2) kuna ukweli wowote?yaani Nape katibu mkuu Ngeleja Mwenezi.

Angempa katibu Mkuu yule Naibu wa Tamisemi atawasaidia sana kwenye Chama chao.
 
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;

Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula
Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA)
Katibu Mwenezi - Nape Nnauye
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo

TIMU HII IMEKAAJE?.....HASA KWA EL NA CDM

wapi Economist grade 1 au amekuwa kama used toilet paper??
 
Safu hiyo ishatupa ushindi m4c!! CCM imeoza kila jina unalotamka CCM ni km kuweka pilipili kwenye kidonda. kwa kifupi CCM imeoza
 
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;

Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula
Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA)
Katibu Mwenezi - Nape Nnauye
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo

TIMU HII IMEKAAJE?.....HASA KWA EL NA CDM

Watoto tu hawa na ni wale waleeee
 
it'll be a dream team; hasa wakimrudisha Mang'ula ambaye wamemuacha pembeni. Hilo la Diallo na la Migiro wanaweza kweli kuingia.

Kikwete ni mtu wa ajabu sana; now that he is preaching reconciliation to his faithful, bringing back Phillip Mangula as makamu wa Mwenyekiti cannot be far fetched!! Yeye anachotaka ni kushinda uchaguzi 2015 and Mangula is a good architect in that field!!
 
Back
Top Bottom