Sekretariati ya CCM ziarani Sumbawanga: Nape aongoza Ujumbe

alitembelea Nursery school aka vidudu sijui kama wanamuelewa labda kama wanasuri uji na pipi!
 
Kama hii picha haijapachikwa basi ni wanafunzi wa shule msingi hao, Nape anawafundisha kuimba nyimbo za TANU yajenga Nchi

It's real photo ameipost Nape mwenyewe kwenye page yake ya Facebook
 
Sitaki kuamini hiyo picha, inamapungufu mengi mno, watu wa IT wameichakachua, ingawa suala hili linawezekana kumtokea huyu jamaa, kwenye facebook labda kunamsela ka mtagg. Ila kama ni kweli namshauli mshkaji hiyo kazi ya uenezi aiache na atafute kazi nyingine, siasa ngumu
 
Nape ni limbukeni wa maisha,hajui anakotoka hata anapokwenda,ni msukule uliokufa siku nyingi.ANALAANA YA MAREHEMU BABA YAKE INAYOMSUMBA.
 
Nape ni limbukeni kama walivyowanamagamba wenzake,Anguko la CCM limetimia.
 
Kapoteza dira na mtazamo wa kiakinifu, CCM wote wezi, wanabadilishana tu uzoevu wa kuiba and not other way around.
 
unajua kuna bwana mmoja nimemsoma hapa ndani jf amesema kuwa ilikuwa aibu kubwa sana leo baada ya nape kuwa hutubia watoto wa shule na ameshuhudia kwa macho yake baada ya wao kuwa wanatoka kwenye msiba wa dereva wa nmb sasa ndo naamini kweli ni aibu huyu bwana kaipata leo jaman chama kimepoteza mvuto kabisa na hizo nyumba wamezisababisha ccm akuna hata bati na maisha yao ni magumu sana hakika wanalo hii miaka mitano cha moto watakiona
 
Hawa watoto asilimia 95 ni chini ya miaka 12,labda ndio kujenga chama kama walikuwa wanamwelewa.
 
Hiyo picha imechakachuliwa.
Nimeona TBC1 kulikuwa na watu wengi wenye umri mkubwa tena walikuwa wamevaa nguo za CCM. Wengi wa walokuwa wamekaa mbele walikuwa kwenye viti. hivo hiyo si picha halisi ya laela.
tukubali jamaa alipata watu wengi. Sababu ya kupata watu wengi ni kwamba amefanya mkutano wake kwenye eneo la ujenzi wa barabara ya Tunduma Laela ambako watu wamefurahi kupelekewa miundombinu hivyo kuhudhulia kwa wingi wakidhani kuna kingine zaidi ya hiyo barabara.
 
Huwezi amini leo CCM wamechemsha mjini Sumbawanga kwa kukosa wapenzi kama ilivyotarajiwa.Wakati wakiingia mjini hapa katika maeneo ya kizwite na Chanji walikuwa wakipewa alama ya vidole viwili toka kwa watu hata waliovaa viremba vya CCM.Vijana wa bodaboda waliopewa bendera za kijani walizitelekeza na kuendelea na utaratibu wao.Kwenye mkutano wa hadhara eneo la viwanja vya Msakila walipata watu 1/10 ya waliohudhuria mkutano wa mwisho wa CDM.Kweli watu wamebadilika juu ya siasa za Tanzania.Kwenye mkutano nape hakuna cha maana alichoongea juu ya sera za chama cha magamba zaidi ya kutoa rugha za matusi dhidi ya CDM.Du! ni bora hata Mkama hukufika kwani andeonekana kama sanamu la michelini.Chadema jamani inatisha!!!!!! Acha kusikia moto wake si mchezo
 
Hiyo picha imechakachuliwa.
Nimeona TBC1 kulikuwa na watu wengi wenye umri mkubwa tena walikuwa wamevaa nguo za CCM. Wengi wa walokuwa wamekaa mbele walikuwa kwenye viti. hivo hiyo si picha halisi ya laela.
tukubali jamaa alipata watu wengi. Sababu ya kupata watu wengi ni kwamba amefanya mkutano wake kwenye eneo la ujenzi wa barabara ya Tunduma Laela ambako watu wamefurahi kupelekewa miundombinu hivyo kuhudhulia kwa wingi wakidhani kuna kingine zaidi ya hiyo barabara.
Kwa habari zilizopata kutoka kwa rafiki yangu Sumbawanga mjini watu walikuwa wachache sana ni aibu tupu
 
Hotuba ya Nape imenikosha kwani ameelezea mpango mkakati mzuri sana uloandaliwa na CCM ili kuisimamia Serikali wanayoingoza. Hasa pale aliposema hivi sasa wameitaka serikali kuja na Budget itakayoondoa makali ya maisha. Kwa hili tuwapongeze! Angalau wameanza kuonyesha kuwajibika!

WELL DONE Nauye!
 
Hiyo picha imechakachuliwa.
Nimeona TBC1 kulikuwa na watu wengi wenye umri mkubwa tena walikuwa wamevaa nguo za CCM. Wengi wa walokuwa wamekaa mbele walikuwa kwenye viti. hivo hiyo si picha halisi ya laela.
tukubali jamaa alipata watu wengi. Sababu ya kupata watu wengi ni kwamba amefanya mkutano wake kwenye eneo la ujenzi wa barabara ya Tunduma Laela ambako watu wamefurahi kupelekewa miundombinu hivyo kuhudhulia kwa wingi wakidhani kuna kingine zaidi ya hiyo barabara.
Acha porojo lete hapa picha asilia basi. Unajua kuchakachua picha wewe? picha hii ni asilia. Iko kwenye picha zake za facebook. Tembelea uone mwenyewe.
Mhh alikuwa anahdutubia wanafunzi na ukiangalia kwa makini pembe kwa mbali hiyo ni shule ya msingi. Angalia majengo na angalia wanaotoa hotuba kukijenga chama walivyo. Si ajabu wamekwenda na zile VX. Haya bwana majibu watayapata.
 

Picha hii imechakachuliwa, hakuna size proportion kati Nape na wasikilizaji wake.
Anyway, niliona kwenye TV akisema tafsili ya kujivua gamba ni kuongeza ufanisi serikalini! Nilibaki nimeduwaa, kwani kila anakokwenda anatoa tafsiri tofauti! Ngoja ifike June 10, ambapo siku 90 zitakuwa zimekwisha tuone utekelezaji wa kuwatimua akina RACHEL ndani ya CCM!
 
Bajeti yenyewe iko wapi? haijasomwa tayari tumeshaanza kupewa ahadi. Vichwa wazi watakimbia kumpongeza! Hivi ahadi za ccm mbona zinatoka nyingi na utekelezaji zero? Tayari tumeshasikia kamati zikipiga dafulau bajeti za wizara kadhaa!!! sasa unataka kutuambia nini?

Kaa la moto. Nishike uungue.
 
Hiyo picha imechakachuliwa.
Nimeona TBC1 kulikuwa na watu wengi wenye umri mkubwa tena walikuwa wamevaa nguo za CCM. Wengi wa walokuwa wamekaa mbele walikuwa kwenye viti. hivo hiyo si picha halisi ya laela.
tukubali jamaa alipata watu wengi. Sababu ya kupata watu wengi ni kwamba amefanya mkutano wake kwenye eneo la ujenzi wa barabara ya Tunduma Laela ambako watu wamefurahi kupelekewa miundombinu hivyo kuhudhulia kwa wingi wakidhani kuna kingine zaidi ya hiyo barabara.

Nimeamua nikuwekee hadi comment za hiyo picha kwenye Facebook. Ni post ya Nape mwenyewe na picha kaipost yeye mwenyewe. Kama Nape kaichakachua mmmhhh, no comment!!!

Log In | Facebook
Wall Photos
By Nape Nnauye · 35 of 36
Tag this Photo
Share
Download
Report this Photo
PAMOJA TUNASONGA MBELE
about an hour ago · Like ·
12 people like this.

Ahmed Ismail kaka nimeona kwenye taarifa ya habari, dah unaweza....utaimarisha chama naimani!bado watu wana imani na CCM
about an hour ago · Like

Baraka Abdallah Kange sugua..sugua....bro mpaka wataelewa tu......!!!!!!
about an hour ago · Like

Odran Chaula Mbeya. "Ini?
about an hour ago · Like

Abdallah Ulega Sana tu mpiganaji,CHADUMAA wanapiga maktaim ngoma haiendi,wataelewa tu.CCM oyeeeee....
about an hour ago · Like

Minerboy Mfalume komaa kaka labuda unaweza okoa jahaziiiiiiiiiiiiiiiiiii
about an hour ago · Like

Viva Yakoub hahaha wataisoma mkuu
about an hour ago · Like

Minerboy Mfalume ninomaaa wamesha vulundaaaaaaaaaaaa
about an hour ago · Like

Mrisho Ramadhani Hebu wacheni kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa... CCM ni la kuvunda na halina ubani.
about an hour ago · Like · 1 person

Minerboy Mfalume Lakini nape nimpiganajiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
about an hour ago · Like

Hemed Suya Naona watoto watupu hapo tu kwenye picha sasa sielewi ilikuwa ni mkutano wa watoto au ulikuwa ni mkutano wa watu wote! Hao wanaosifu sijui wameona kipi cha ziada waniambie nami nikusifie ila kama ni hiyo picha hakuna kitu hapo.
about an hour ago · Like · 3 people

Tahir Haroub Othman najaribu kuelewa strategy ya CCM bado natoka kapa. Nikiangalia naona you guys act like an opposition party in a never ending campaign trail. CCM is a ruling party ndugu yangu, sasa ni kujenga nchi mambo ya kuhamasishana yaje jioni baada ya saa za kazi na shule.
about an hour ago · Like

Leodgard Sway Lakini wajinga ndio waliwao! Endeleeni kuwabeba na magar ili wajaze mikutano yenu!big up chadema
about an hour ago · Like · 2 people

Leodgard Sway Lakini wajinga ndio waliwao! Endeleeni kuwabeba na magar ili wajaze mikutano yenu!big up chadema
about an hour ago · Like · 2 people

Mrisho Ramadhani Siamini ktk hilo, anataka kushindana na watu. Afanye kilichopo ndani ya uwezo wake.
about an hour ago · Like

Minerboy Mfalume nape lakini unalohongumu ulikua mwanajeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
59 minutes ago · Like

George Mgomba watoto ndo wamekuwa makada coz naona lundo la machaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
55 minutes ago · Like · 1 person

Linus Kilembu NI KWELI KABISA CCM NI CHAMA CHENYE MWELEKEO MZURI KUNA WACHAE WANATAKA KUVURUGA
52 minutes ago · Like · 1 person

Robert Mng'anya kuna watu wanataka ccm ishindwe kwa manufaa yao.hilo tusikubali.kila mtu afanye analoliweza katika jamii kusafisha sura ya chama.
39 minutes ago · Like · 2 people

Linus Kilembu HILO NALO NENO CCM NI CHAMA CHENYE MWELEKEO MZURI VIJANA HASA WANATAKIWA KUJITUMA ZAIDI NA KULETA MABADILIKO NDANI YA CHAMA KILICHOLINDA AMANI TOKA TUNAPATA UHURU
32 minutes ago · Like

George Mgomba robert pole unataka sisiem iendeleee kuwepo kwa manufaa usioyajua pole ndo kiama chenu vijana tumejipanga robert kuwaangusha 2015
32 minutes ago · Like

Kenneth Nollo Comrade Uko Juu sana! Hongera na endelea!
32 minutes ago · Like

Kiberiti Emmanuel HARAKATI ZINAENDELEA.. . . . .KAKA KIUKWELI BADO HUJANISHAWISHI KWA KILE UNACHOKIFANYA,. . . . .! NAONA WENZANGU WANAPOROMOSHA SIFA KEDEKEDE NA WASIWASI NA HILI KAMA KWELI WANAMAPENZI YA KWELI NA CHAMA CHENU. . .,! HIYO PICHA INAJIELEZA WA...See more
25 minutes ago · Like

Linus Kilembu WEE KIBERITI WACHA UONGO ATA ROHO YAKO INAKUSUTA CCM BADO NI CHAMA BORA SANA KUNA MENGI TU WANANCHI WENYE AKILI TUNAYAONA YAMEFANYIKA TATIZO HIVYO VYAMA VYENU VYA UPENDELEO VINATAKA KUVURUGA AMANI MNADANGANYA WWANANCHI NINYI HATUDANGANYIKI NGO NAPE ENDELEZA MAPAMBANO VIJANA TUPO NYUMA YAKO
19 minutes ago · Like

Kiberiti Emmanuel LINUS KILEMBU POLE SANA NDUGU YANGU. . . .WATAANZANIA TUNAHITAJI VITA YA HOJA NA SI MALUMBANO YANAYOENDELEA CMM TOKA TUMEANZA VITA VYA MARADHI, UJINGA NA UMASIKINI NI WAPI WAWEZA SEMA TUMEFAULU, . . . .. . ! MWAMBIENI UKWELI NAPE NYOTA YAKE...See more
12 minutes ago · Like · 1 person

Kiberiti Emmanuel ‎"Bashe alionya CCM isipokuwa makini Itaondoka Madarakani na kuwataka vijana wenzie wa UVCCM kuamka na kukibana chama kisimamie serekali ili tuwatendee haki wananchi,Bashe aliwashangaa Viongozi wa Chama chake badala kutumia Muda mrefu kutat...See more
7 minutes ago · Like

Kenneth Nollo ‎@ Kiberiti Bashe Emmanuel!
4 minutes ago · Like

Florian Mkangala Mkubwa kazi unayo kwa style hii tunayowaonanayo hatujui kama mtafika kokote tena. Mmekwisha ndugu we malizia tu na wewe......
3 minutes ago · Like

Linus Kilembu NDUGU YANGU YAELEKEA WEWE KIBERITI NI MSABIKI WA CHAMA FULANI LAKINI SI MTANZANIA WEWE USITULETEE YA GADAFI HAPA TUNAHITAJI AMANI OK
 
Back
Top Bottom