Sekretariati ya CCM ziarani Sumbawanga: Nape aongoza Ujumbe

CHADEMA NINYI HAMNA JEMA KWENU? KIZURI MKIFANYIE BURDAAAAAANI WAKIFANYA WENZENU CCM MNAWEWESEKA ACHENI SIASA ZA VYOO YA SHIMO ANGALAU KUWENI NA SIASA ZA CHINESE TOILET, MLITAKA CCM WALALE USINGIZI ILI NYIE MPATE MTEREMKO...?

CCM itaendelea kujiweka sawa kila kukicha mpaka kieleweke na nani ataamua ni mpiga kura ndani ya sanduku la kura 2015.

Nape warambiiiiiiisheeeeeeeeeeeeeee, Nchemba warambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisheeeeeeeeee.

Kidumu chama cha mapinduuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi.
 
CHADEMA NINYI HAMNA JEMA KWENU? KIZURI MKIFANYIE BURDAAAAAANI WAKIFANYA WENZENU CCM MNAWEWESEKA ACHENI SIASA ZA VYOO YA SHIMO ANGALAU KUWENI NA SIASA ZA CHINESE TOILET, MLITAKA CCM WALALE USINGIZI ILI NYIE MPATE MTEREMKO...?

CCM itaendelea kujiweka sawa kila kukicha mpaka kieleweke na nani ataamua ni mpiga kura ndani ya sanduku la kura 2015.

Nape warambiiiiiiisheeeeeeeeeeeeeee, Nchemba warambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisheeeeeeeeee.

Kidumu chama cha mapinduuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi
 
chadema ninyi hamna jema kwenu? Kizuri mkifanyie burdaaaaaani wakifanya wenzenu ccm mnaweweseka acheni siasa za vyoo ya shimo angalau kuweni na siasa za chinese toilet, mlitaka ccm walale usingizi ili nyie mpate mteremko...?

Ccm itaendelea kujiweka sawa kila kukicha mpaka kieleweke na nani ataamua ni mpiga kura ndani ya sanduku la kura 2015.

Nape warambiiiiiiisheeeeeeeeeeeeeee, nchemba warambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisheeeeeeeeee.

Kidumu chama cha mapinduuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi

naomba ruhusa ni delete post yako. Inakera
 
wataweza kufukia? chadema wamepita na tingatinga wao wanapita na pikap wataweza?
 
CHADEMA NINYI HAMNA JEMA KWENU? KIZURI MKIFANYIE BURDAAAAAANI WAKIFANYA WENZENU CCM MNAWEWESEKA ACHENI SIASA ZA VYOO YA SHIMO ANGALAU KUWENI NA SIASA ZA CHINESE TOILET, MLITAKA CCM WALALE USINGIZI ILI NYIE MPATE MTEREMKO...?

Na wewe ni kada KWELI kwa lugha HIZI?
 
kadi za kuchonga hizo!
View attachment 31362

Kwa kutumia simple logic, cdm haijawa na wananchama wengi wa kike huko vijijini. Hivyo sidhani kama kunawanawake wa cdm wa kurudisha kadi. Hawa ni wale wale wa magamba wamepewa kadi za kuchonga ili warudishe. Watu wanaoneka wala hawako serious na tukio lenyew wakiashiria kuwa wameshawishiwa tu na kitu kidogo huku mioyo yao ikiwasuta.
Anyway cdm haitegemei wananchama wa kadi maana ina watu wengi wanaoiunga mkono japo hawana kadi za uananchama mimi nikiwa mmojawapo.
 
wewe lazima utakua fisadi au una ulimbukeni, kwakweli mimi siwatetei chadema ila hali ya nchi imekuambaya sana kiasi kwamba nikiona m2 tena kijana akisema ccm oyee naweza nkamchoma kisu! Ndugu yangu wewe uko dunia gani? Je unawatakia wajukuu zako maisha mazuri? Hao vigogo wa ccm ikipanda bei ya sukari, mafuta, unga etc wanachekelea bdala ya kufikiria jinsi ya kupunguza ukali wa maisha, ni ma fakeni wote wanaoikenulia ccm na vgogo wa ccm pia faken. Sasa hivi watanzania wamekua na jazba na hao mafakeni. Eee mungu kama unaipenda Tanzania mchukue kikwete hata kesho.....Amen.
 
Ni nchi gani hiyo ambayo hakuna wanaume!? Mkutano mzima mwanaume ni Nape tu! Kweli mashaka yanazidi matumaini.
 
wewe lazima utakua fisadi au una ulimbukeni, kwakweli mimi siwatetei chadema ila hali ya nchi imekuambaya sana kiasi kwamba nikiona m2 tena kijana akisema ccm oyee naweza nkamchoma kisu! Ndugu yangu wewe uko dunia gani? Je unawatakia wajukuu zako maisha mazuri? Hao vigogo wa ccm ikipanda bei ya sukari, mafuta, unga etc wanachekelea bdala ya kufikiria jinsi ya kupunguza ukali wa maisha, ni ma fakeni wote wanaoikenulia ccm na vgogo wa ccm pia faken. Sasa hivi watanzania wamekua na jazba na hao mafakeni. Eee mungu kama unaipenda Tanzania mchukue kikwete hata kesho.....Amen.

Aaaaaaamin.......!!!!!!!

Kuchomana visu hapana Mkuu...!!
 
Hivi ni kwanini hawa watu wa magamba wana kuwa waongo kiasi hiki jamani? Kuna picha hapa naomba mziangalie kwa umakini inanitatiza sehemu kadi watu wanaporudisha na mkutano unakofanyika. Angalia mwana mama anapopokea kadi akipokea toka kwa nape na mazingira yake kisha angalia sehemu nape alipo anapo fanya mkutano tofauti.
Alafu unasema kulikuwa na maelfu ya watu mbona watoto wengi picha ya kwanza jamani kuweni wakweli.

Pia wamevuna kutoka chadema tu hakuna wanachama wa chama kingine walirudisha kadi jamani? Nape tusaidieni jamani

Usiumie kichwa Mkuu, nini kadi? Jambo la msingi ni ku-invest kwenye nyoyo za watu kama inavyofanyika sasa, kadi ni karatasi tu!
 
Robert G. Ingersoll once said, ''It is a thousand times better to have common sense without education than to have education without common sense''. It may be a long time saying but it appears to be live in our society today. I don't think I can say much to those ''fake cards holders'', the result will be self explanatory in 2015 when CCM will be shocked with the real number of their members on the ballots.

''You can fool some people sometime, but you can't fool all the people all the time. So now you see the light, stand up for your rights''
Bob Marley
 
Mkuu umenikumbusha mgombea mwenza kutoka znz wa chama flani katika uchaguzi wa mwaka jana, vyote alikuwa hana kabisa.
 
Back
Top Bottom