Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

Nahisi wewe ni mmojawapo wa wadau wa masuala nyeti ya nchi hii,basi rekebisheni kwanza SYSTEM ya ELIMU.Hiko unasema ni kweli lakn ukweli ni kwamba si kwa mfumo wa elimu wa hapa Tanzania.
Lakn pia bado nasisitiza kuwa pamoja na umuhimu wa elimu inaweza isisaidie sana inapokuja masuala ya uongozi kwani tuna mifano hai mingi ambapo wale walioenda vidato na mapihechidiii wanaboronga zaidi na wale wenye elimu ndogo wanafanya vema....Tuangalie uwezo wa mtu na si vidato na ikiwezekana tuache wivu wa kijinga...kama mtu anafanya vizuri katika uongozi au fani yoyote basi aendelezwe.Siku hizi elimu ipo kila mahala.

hapana Zion Daughter aim no body! .. rather than a normal citizen .. but nakubaliana na mawazo yako naamini wahusika wana pita JF na wanasoma mawazo ya wadau humu
 
Songea Boys
1. Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta
2. Mwanasheria na Wakili Msomi Mbobezi Mabere Nyaucho Marando
3. Mwanasheria Mkuu wa UDSM Prof.Florens Dominick Luoga
4. Naibu Waziri wa Elimu-Phillipo Mulugo
5.Mimi...
 
Anaongea kama araimba mziki wa kizazi kipya! lol. Kwangu mimi sioni kweli labda wataalam kama wewe.

Mh! Kumbe vile ndo mziki wa kizazi kipya ndo unavoimbwa? Mbona me naona tofauti? Lakini hainaga shida ndo jembe letu wanambeya.
 
Taboragirls,celina kombani,ashabaraka,mamaanna abdala.taboraboys,alfrednyirenda. Korogwe girls.asharosemigiro.
 
Kilakala,mama getrudamongela,annemakinda,marynagu.galanos,januarymakamba(o-level),na a level,forestsec ya morogoro.
 
Tangu nimeweka hii thread hamta bisha kabisa kwamba shule za tosamaganga,malangali,taboraboys,ndizo zimetoa viongoz weng
 
Mkuu wa kaya alisomea sec gani?

Swali lako halipo clear sana.....Mashuhuri means what? au alimaanisha viongozi bora? Na je alimaanisha kwa level gani O Level na A level kwa ujumla wake au? Anyway....mkuu wa Kaya alisomea Tanga Technical School, the first Governement school in Tanzania na alilala bweni moja linaitwa Simba kama sijakosea....am very shy ku share shule moja na Mkuru kusema ukweli......dah!
 
Swali lako halipo clear sana.....Mashuhuri means what? au alimaanisha viongozi bora? Na je alimaanisha kwa level gani O Level na A level kwa ujumla wake au? Anyway....mkuu wa Kaya alisomea Tanga Technical School, the first Governement school in Tanzania na alilala bweni moja linaitwa Simba kama sijakosea....am very shy ku share shule moja na Mkuru kusema ukweli......dah!

Pole sana Revolutionalist kwa ku-share shule moja na mkuu wa kaya aliye dhaifu namna hii, ingawa nakupongeza kwa upande wa pili kwa ku- share shule moja na Mkuu wa kaya "Mwana mapinduzi wa Demokrasia nchini" ambaye yuko tayari kuruhusu uhuru wa maoni ya wananchi hadi kuelekea kutaka nchi kuikabidhi kwa wapinzani. Hongera sana "Keep it up"
 
Ha ha ha hah nimempata mwingine ni Naibu Waziri wa
Elimu Philip Mulugo list yangu ni
1. Mimi
2. SUGU
3. CP.
4. Philip Mulugo
Ngoja nicheki wengina na waliopita shule yangu ya A-level
 
Karibu kiongozi Shedrack Mwainyekule ingawa hapa si jukwaa husika ila si vibaya, kwa tamadun zetu za kiafrika mgeni anakilimiwa hata akija bila taarifa,Angalizo tu mkuu lugha ya taifa (kiswahili) usionee aibu kwani iko mbioni kutumika vyuoni pia.
 
Last edited by a moderator:
ngojeni niwasaidie kidogo,waliosomeataboraboys ni,samwlsitta,bernadmembe,jumamahadh,prof.jumakapuya,shukurukwambwa,dr.harrisonmwakyembe,prof ibrahimlipumba,agustinoramdhani,jeneraliulimwengu,castorligalama,prof.davidmwakyusa,henrykiddifu(mwansheriawaewura),josephmungai,mizengopinda,didamasaburi.joshuanassari,mzeerashidmfaumekawawa,mwalimunyerere,
Shule iliyotoa viongozi wengi ni Tabora school (TS) au Tabora Boys hilo halina ubishi. Nyerere aliijengea mazingira shule hii ili itoe viongozi; Wale wa kisiasa na wa kijeshi. Pamoja na hao waliotajwa juu wengine ni Paul Bomani, Makongoro Nyerere, Didas Masaburi (alikuwa muigizaji na mwanamazingaombwe mzuri) Mimi mwenyewe, wanamichezo Neva Mkadara na Emanueli Mlundwa, orodha ni ndefu hebu iendelezeni wale mliopitia pale. Shule ilifundisha uzalendo, ukakamavu, uvumilivu na uadilifu sijui siku hizi kam hilo linaendelezwa.
 
Back
Top Bottom