Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

Mbeya sec. 1Joseph Mbilinyi (SUGU) wengine ngoja ninywe kinywaji kwanza nipate kumbukumbu.
 
malangali secondary school-iringa
1. Mark mwandosya
2. Ibrahimu kaduma
3. Joseph mungai
4. Late daudi mwakawago
5. Late sapi mkwawa
6. Late adam sapi mkwawa
7. Philemon mgaya-was inspector general of police
8. Mathew laban luhanga
9. THOBIAS ANDENGENYE- WAS RPC ARUSHA SASA YUPO MAKAO MAKUU
10 LINUS SINZUMWA-RPC SINGIDA
11. General mboma

Niongeze na mimi kidundulima nilisoma Malangali. Bweni langu lilikuwa Mkwawa B. Ni mtu maarufu tanzania hii. hivi sasa naongoza chuo kimoja hapa nchini au mpaka niwe mwanasiasa ndo nakuwa maarufu?
 
Mzumbe sekondari bila shaka, wala bashasha.

Kuna 1. Mbaraka Mwinyishehe (mwanamuziki nguli wa Tanzania).
2. Edward Hosea (Mkurugenzi Takukuru)
Orodha inaweza endelezwa...

shule yetu mzumbe secondary,yasifika kote Tanzania.
Malezi ya Mzumbe elimu yake,ni kamilifuu pote Tanzania,daima mbele nyumaa mwiko...
 
Back
Top Bottom