Sekenke jamani barabara mbovu

bahatim

Member
Apr 2, 2012
14
5
Kwa kweli nashangaa kuona barabara muhimu hasa kipande cha mlima sekenke singida barabara imechimbika inaonekana Tanroad singida hawakagui kipande hicho magufuli tembelea huone jinsi gani wakandarasi walivyojenga barabara haina viwango hasa pale mlima sekenke
 
Mlima kama ule ninavyoufahamu kiwango cha utengenezaji wa barabara ni ovyo kwa vile haijatengenezwa kwa kiwango kinachotakiwa hasa kuendana na magari yenye kubeba uzito mkubwa yanayopita huko. Magari makubwa yanapopanda mlima au kuteremka kwa mwendo pole huharibu zaidi barabara na kumbuka break nazo huumiza barabara kwani uzito wote unaelemea barabara kuliko bari linapokuwa na mwendo kasi
 
Hawa jamaa wa TANROADS bure kabisa, hayo mahandaki ya sekense sijui wanasubiri nini kufukia. Halfu wakikaa hapo bungeni wanadanganya sana wananchi. Kwamfano kile kipande cha Mohoro hadi Somanga miaka nenda miaka rudi hakimaliziki.............bure kabisa!
 
Back
Top Bottom