Seif anaogopa vyombo vya habari Bara!! Ataongea na media kesho Pemba!

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Taarifa kutoka kitengo cha habari Hq Cuf zinaonyesha kuwa Seif ataongea na Media kesho huko Pemba na Jpili anaongea na wanachama Dsm.Hali ya Seif kisiasa ni mbaya baada ya Hamad Rashid kuanza kueleza yaliyojili.Seif amekatisha Ziara Lindi na Mtwara na sasa baada ya kusoma magazeti na kuona hali halisi ya tuhuma ameamua kukimbilia Pemba ambapo atamchafua Hamad Rashid kabla ya kikao cha yeye na wanachama Dsm.Mtu wa karibu na seif anasema Seif anakwenda waandish wa habari Bara kabla hajatolea maelezo ya tuhuma
 
Kama kwenu munamuona Hamadi Rashid ni Hiro , Basi kwa Wazanzibar wanamuona muasi na fisadi, ndio ukaona kelele zake hupwata huko tu lakini haziwashtuwi Wazanzibar kukwamisha harakati za uhuru wao, Mwambieni Hamadi Rashid aje kufanya Mikutano Zanzibar kama Dume?.

Wazanzibar sio watu wakukumbadia wanafiki ukiwageuka basi wanakusulubu tu, hili halina mkopo kwa Wananchi wa Zanzibar kwa hio kama munamuona Hamadi kiboko basi mchukuweni nyiyi? huku kwetu tumeshamuingiza katika catagori ya Wanafiki na Mafisadi.

Hatuwezi kumpa ukatibu Hamadi Rashid kwa vile tayari amesha chezewa na ccm Bara , na Ubunge wake uko (end of the Road) Wazanzibar wa Wawi Chake wanamsubiri kwahamu kumpa tarifa za kuwa sio mgeni wao tena ni Raia wa Mizengwe Pinda.

Hivi sasa huhashukwa tu kwenye media ili kumtafuta na kumchokora Maalim, wazee wa Kizanzibar tayari wameshamuambia Maalim abinye kimya ili kumuacha Hamadi ajizonge zaidi, na kama anataka ukatibu kwa style hio basi Wazee wa Zanzibar wameahidi watampa ukatipu ili amkabizi Mizengwe Pinda.
 
Anaongea na vyombo vya habari Pemba au Unguja?
 
Ndio matatizo ya viongozi wa nchi yetu, kukimbilia kwenye media kuongelea mambo ambayo yanapaswa kusikilizwa na kutatuliwa ndani ya chombo husika.
 
Hamad Rashid imekula kwake kwanza wapemba walikuwa washampiga chini katika kura za maoni mwaka jana akabebwa na maalim Seif sasa ndio basi tena kimeota labda arudi CCM.
 
Hamad Rashidi ndoa imemshinda kila siku anashindia BAMIA na Kauzu Mtatiro kayeya na chengi Mkuu wake Maalim Seif ndio kaishanyoa nywele na vipodozi kibao anakula bata mzinga na maziwa. Wivu tu ndio unammaliza HR
 
Kama kwenu munamuona Hamadi Rashid ni Hiro , Basi kwa Wazanzibar wanamuona muasi na fisadi, ndio ukaona kelele zake hupwata huko tu lakini haziwashtuwi Wazanzibar kukwamisha harakati za uhuru wao, Mwambieni Hamadi Rashid aje kufanya Mikutano Zanzibar kama Dume?.

Wazanzibar sio watu wakukumbadia wanafiki ukiwageuka basi wanakusulubu tu, hili halina mkopo kwa Wananchi wa Zanzibar kwa hio kama munamuona Hamadi kiboko basi mchukuweni nyiyi? huku kwetu tumeshamuingiza katika catagori ya Wanafiki na Mafisadi.

Hatuwezi kumpa ukatibu Hamadi Rashid kwa vile tayari amesha chezewa na ccm Bara , na Ubunge wake uko (end of the Road) Wazanzibar wa Wawi Chake wanamsubiri kwahamu kumpa tarifa za kuwa sio mgeni wao tena ni Raia wa Mizengwe Pinda.

Hivi sasa huhashukwa tu kwenye media ili kumtafuta na kumchokora Maalim, wazee wa Kizanzibar tayari wameshamuambia Maalim abinye kimya ili kumuacha Hamadi ajizonge zaidi, na kama anataka ukatibu kwa style hio basi Wazee wa Zanzibar wameahidi watampa ukatipu ili amkabizi Mizengwe Pinda.

Ahsante mkuu umetuwasilishia vyema maoni yetu. Hili halina shaka kwamba HR amejinyea nguoni, mimi binafsi nimeongea na takriban nusu ya wazee na vijana wa hapa Pemba wanasema Hamad Rashid kama anaweza mapambano kwa nini haji kusimama katika majukwaa ya Zanzibar akaonekana kimo chake! Kamanda wewe waache Watanganyika wapumbazane na kumuona HR shujaa lakini sisi huku tunamuona ameshaingia najisi zaidi ya Mbwa na Nguruwe.
 
Prof...anakula kuku kwa mrija......Majuu...HR anawaamsha viongozi wasijisahau kudhania chama kitaongozwa na wao tuu...Wapo wengi wenye uwezo...ILA CHAMA BWANA HAKINA MVUTO TENA KWA WATANZANIA.....KIPO PEMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA......
 
Taarifa kutoka kitengo cha habari Hq Cuf zinaonyesha kuwa Seif ataongea na Media kesho huko Pemba na Jpili anaongea na wanachama Dsm.Hali ya Seif kisiasa ni mbaya baada ya Hamad Rashid kuanza kueleza yaliyojili.Seif amekatisha Ziara Lindi na Mtwara na sasa baada ya kusoma magazeti na kuona hali halisi ya tuhuma ameamua kukimbilia Pemba ambapo atamchafua Hamad Rashid kabla ya kikao cha yeye na wanachama Dsm.Mtu wa karibu na seif anasema Seif anakwenda waandish wa habari Bara kabla hajatolea maelezo ya tuhuma

Mbona yeye Hamad Rashid anazungumzia Dar na siyo Wawi. Anaogopa nini?
 
Back
Top Bottom