JIULIZE KWANZA
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 2,569
- 499
Wana jamvi yule mtoto wa Gadhafi amekamatwa huko southern libya akijaribu kutoroka akiwa amechoka, kachafuka na mwenye njaa..watoto wa watawala mmejifunza nini? je gadhafi na familia yake laiti wangu ujua mwisho wao je wangeita nguvu ya umma panya?
gonga hapa kwa details
Seif al-Islam Gadhafi captured in southern Libya - Yahoo! News
gonga hapa kwa details
Seif al-Islam Gadhafi captured in southern Libya - Yahoo! News