Sehemu ya walinzi katika muvi za kibongo

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
398
99
mambo vp pipoz... daa ebana jana nilikuwa nacheki muvi moja ya kibongo daa dzaini ka nkashindwa kuelewa hivi ni kwanini karibu muvi zote za kibongo wasanii wanaokuwa wamepangiwa waigize kama walinzi lazima wajifanye kama vichaa coz cyo muvi hyo tuu kuna muvi kibao nimecheki na nime kiona mara kibao hicho k2.....embu tujuzane kuhusiana na hiki kitu
 
asili yake ni movie za kinaijeria!wameiga tu toka nigeria wakati walinzi wa kitanzania sio wapumbavu kihivyo!ndio maana unashangaa!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom