Sehemu gani nzuri Arusha kwa mapumziko

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,892
32,308
Wanabodi.
Napeleka vijana wangu wawili shule wanasoma Arusha takaa siku nne, naombeni mniambie hotel gani nzuri nifikie bei iwe kuanzia $150 mpaka $200.
 
wala usijipe shida, hoteli zote kubwa arusha ni nzuri sana, zipo kibao, uliza tu taxi driver yoyote, mradi tu uwe specific, kupumzika maana yake nini, casino, golf cource, gym, swimming pool gardens, ..........
 
Tajaribu kupitia hizo sehemu nione wapi pazuri!
 
Wasiwasi wa nini mbona inaonesha salio lako liko juu bana? salio ni kila kitu banaa, si utamuuliza dreva taxi nipeleka hotel nzuri ntalipa dola 100 kwa kazi hiyo tuu, afu bei ya taxi inakuwa nyigineee!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa Mromboo je?

Kwa Mromboo sı nı uswazı wanapouza nyama choma mbalımbalı? Au na mımı ndıyo mshamba wa Arusha. Nılıpelekwa Mromboo sehemu za nyama choma zımejıpanga unachagua unapotaka mwenyewe.
 
snow crest,lakini wasiliana na magufuli kwanza akupe ratiba ya ubomoaji majengo mjini arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom