Sehemu gani MURUA/SAHIHI kupata mchumba kati ya hizi?

Msibani.hapo utajua mtu kama anahuzuni sura ipoje wengine wakicheka kama wamenuna
 
Popote pale. inategemea umeweka vigezo gani.....

Na kweli, maana huwezi weka vigezo vya idadi ya bia anazokunywa wakati mpo kanisani.... Mtu ni yule ila anarespond tofauti kutegemeana na yupo maeneo gani..
 
sehemu murua ni LANGO LA JIJI

e bana Mlimani City ndo mpango mzima... Pale unapata mchumba wa dizaini yoyote unayotaka... Mfano ni mi mwenyewe mke wa ukweli nilimpatia pale na sasa tuna mtoto na maisha ni matamu hakuna mfano... yaani nakwambia we wacha kabisa
 
Back
Top Bottom