Sehemu gani MURUA/SAHIHI kupata mchumba kati ya hizi?

Hakuna formula! Popote waweza kupata mchumba bomba.. Wengi sk hizi wanadhani ni kanisani.. lkn kanisani kuna baadhi ya watu wanakwenda kwa nia hy tu.. Kumbe HAFAI hata kidogo.
 
1. Kanisani
2. Chuoni/shuleni
3. Kwenye daladala/safarini(kukutana kwenye chombo cha usafiri)
4. Kazini/maofisini
5. Kijijini kwenu
6. Disco
7. Kwenye msiba
7.....etc etc

Kati ya hizo na nyinginezo nyingi je ni wapi sahihi?

Sahihi kivipi na kwa mtu wa namna gani Nguli?

Kwa Sheikh, Mwandishi wa Habari, Mkulima, Rais wa Nchi, Kiongozi wa shirika la kimataifa, Fundi viatu, Kondakta wa daladala, Mchungaji wa Kanisa la dhehebu fulani, Mwanasiasa, Mwanamuziki, Mchezaji wa Kimataifa, Profesa wa Chuo Kikuu, Mbunge, Daktari, Mhandisi, Mhasibu, Rubani, Mfanyakazi wa Chumba cha kuhifadhia maiti, Afisa Usalama wa Taifa, Askari Magereza, Fundi Seremala...n.k

Na Sahihi kwa kupata mtu mnayeshabihiana, au atakayekufaa, au mtakayefaana, au utakayemfaa, Kwa Ngono, au Kwa Mapenzi, au kujenga familia pamoja, au kuishi pamoja? au kukupa sifa unapotembea naye kwa uzuri wake, au kukusaidia uendelee kukaa kijueni kwa sababu anatafuta hela yeye, anapika yeye, anafua yeye, kila kitu Yeye. Au mtakayefanya kazi pamoja kwa kuwa kazi yako inamtegemea awepo, kwamba ziko kazi hazifanyiki vizuri bila kuwa na mwenzi, au msiri wako, au mrithi wako, au mwenzi wako kibiashara kwa pamoja na ndoa au .....n.k.

KIVIPI MKUUU!!!!!!!!!!!
 

Quote:


SHINDWA!! mm sio bwana wako.

.



wewe Nguli una nini jemeni? Shostito unajisheua!! nikikunasa hutotoka anga zangu....
 

Quote:


SHINDWA!! mm sio bwana wako.

.



wewe Nguli una nini jemeni? Shostito unajisheua!! nikikunasa hutotoka anga zangu....

Mkuu heshima mbele. Tafadhali yaishe usijenisababisha nibadili ID yangu au kuhama JF kbsa. Asante kwa kunielewa.
 
kama sijakosea NGULI kupata mtu hadi mkafikia kuitana wachumba ni process ndefu! sasa ukisema tu mahali pa kupata mchumba ni msibani kwa mfano sipati picha kama utawezaje kwenye msiba wa siku 2 ukapata mtu ukafika mahali ukaamini kuwa ni mchumba ambaye hatimaye atakuwa mwenzi tena wa kujenga nae family na kuishi ikiwezekana mpaka kifo kiwatenganishe!!!!

To me, mchumba anaweza kupatikana katika mazingira yoyote au sehemu yoyote ile, lakini mara nyingi huanza na urafiki wa kawaida tu na baadae ndio kupitia sharing/ exchange of ideas, experience,life stories, family probs, outings etc etc ndio taatibu unaweza ukaanza kuona kuwa huyu anaweza kunifaa kama mchumba/ mwenzi. lakini ukifanya haraka umeona tu binti ametulia kanisani anaimba sauti ya juu ukadhani ndio malaika, my dear am afraid utakuja kuishia pabaya!
 
Daa Ukimmuliza Spika wa Bunge atakwambia Skuli,maana mambo ya Tabora school watu wengi tumeoana toka pale!!!hahhaha!!
 
Daa Ukimmuliza Spika wa Bunge atakwambia Skuli,maana mambo ya Tabora school watu wengi tumeoana toka pale!!!hahhaha!!

hii noma asa sie wazze wa kutega wanyama kule ZOO na LOLIONDO si ndio balaa zaidi!

nway mkuu nguli

mchumba mzuri anapatika etc etc! Kama zali vile!:rolleyes:
 
1. Kanisani
2. Chuoni/shuleni
....

Mkiwa chuo/shule, angalia msifanane kidato/umri - it may not be a good long term investment;).
Unless there is at least three years gap, don't take it too serious....

My 02
 
kwa mujibu wa pespective za kileo, sehemu nzuri ya kupatia mchumba ni KITANDANI, hata kama ni kitanda cha gest!!!!!!!
FUUUUUUUUUL STOOOOOOOOOOOOOOOOP!
 
MImi nasema Mtaani, maana mtaani ni demu unamjua toka zamani vizuri .
Wengi watasema kanisani, ila sina uhakika na hilo ,since kuna mlupo kibao inaimba kwaya na jana yake tuu ilikua inakata mauno ya kufa mtu kwa lady JD ikicheza Mtarimbo Doro.
Nadhani popote nisehemu muafaka wa kupata mke mradi tuu ujue unataka nini kwa huyu mtu abaye wewe una dhani na faa kua mkeo.
 
nafikiri mtoa thread angekuja na swali ,ili kila mtu atoe jibu mwisho wa siku tuangalie wengi wamekutana wapi na wenzi wao
 
Back
Top Bottom