Security code N8

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,234
531
Nimesahau security code ya Nokia N8 yangu. Nimejaribu 3-finger hard reset bila mafanikio, na nimebahatisha zile defaults zote(?) 0000, 12345 n.k. bila mafanikio pia.

Kuna njia yeyote around hii kitu wakuu?
 
Nimesahau security code ya Nokia N8 yangu. Nimejaribu 3-finger hard reset bila mafanikio, na nimebahatisha zile defaults zote(?) 0000, 12345 n.k. bila mafanikio pia.

Kuna njia yeyote around hii kitu wakuu?

Hard reset ipo hivi menu+camera+volume down

53345709.jpg


Then aina nyengine ni ku update software/ re install software version itasolve bug yoyote
 
Asante mkuu chief-mkwawa, nimekwisha fanya hivyo na nahisi imekuwa successful sababu sasa ina-behave tofauti (ina vibrate kitu ambayo nilikuwa nimeondoa) lakini bado inadai security code
 
Last edited by a moderator:
Asante mkuu chief-mkwawa, nimekwisha fanya hivyo na nahisi imekuwa successful sababu sasa ina-behave tofauti (ina vibrate kitu ambayo nilikuwa nimeondoa) lakini bado inadai security code.

By the way, sms zinaingia ila siwezi kusoma na calls pia zinaingia na naweza kujibu
 
Last edited by a moderator:
nlikuwa na katatizo kama chako kwenye nokia C7...chief mkwawa helped me alot ''mungu amzidishie''... Ila lastly ilinibidi nkaiflash ''elf15'' simu ikawa bien... Kwa hasira nkaiupgrade ''kwenda belle os'' asa hivi burdaaaani...
KAIFLASH MKUU
 
Back
Top Bottom