Security academy buzwagi gold mine

Idimulwa

JF-Expert Member
May 27, 2011
4,503
1,722
Wakuu,

Mwenye taarifa za kina kuhusu hiki chuo anijuze nataka ni apply.Kiko chini ya wizara ipi?kina hadhi kama kile cha monduli na mtaala upi kinatumia maana wakufunzi wengi ni watasha?kinatambuliwa na VETA au NACTE nk?kinatoa elimu kwa kiwango gani na kinapokea wanafunzi wenye elimu ya kiwango gani? Na lini intake huanza na ada ni kiasi gani?

Ma miners wa buzwagi mlioko hapa jamvini mwageni data basi maana koleji naona lina kama miaka mitatu sasa na nina litamani sana japo liko indoor kiaina.
 
Back
Top Bottom