Secretly in love with ur bestfriend..

Amyner

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
2,397
877
Have you ever been secretly in love with your bestfriend (of different gender?) How did it end?
Personally, i just remembered my experience, miaka ya nyuma i had a very close male friend, he was my best friend (atleast by then) but his feelings changed as days went by and suddenly one day he told me what he felt.. I thought why nt giving it a try.. THAT WAS THE BIGGEST MISTAKE WE EVER MADE! It never worked as a couple.. After we broke up there was no close friendship anymore. And now, we are just two people who knew each other.

Ila wengine wanasema love inakuwa nzuri kama mkianza kama friend then lover kwan mnakua mnajuana.

U see! Thats were the contradiction is! U either know someone so well or u dont know them at all..b4 u fall in love.

U see! Thats were the contradiction is! U either know someone so well or u dont know them at all..b4 u fall in love.

Hakuna formula ndugu yangu..

Ila kwa wanaume, anajisikia vibaya kulea mwanambuzi halafu watu wengine wakaja kujichunia kirahisi na kutafuna nyama choma...Unahisi kwamba ni vizuri ukavune matunda ya kazi yako!!

At least from the men's perspectives!!!

Nakuunga mkono mkuu maana huwezi shika mapembe wenzio wanakamua maziwa tuu km mwanaume lzm roho iume bana

Ni kweli hii kitu haina formula ila kipindi mpo kwenye urafiki nadhani ndio muda mzuri wa kusomana kwani si kila rafiki mzuri wa jinsia tofouti anaweza kuwa mpenzi mzuri kwani kuna tofauti kubwa ya kihisia pale mnapokuwa marafiki wa karibu na pale mnapokuwa wapenzi kwa hiyo mkishindwa kuzibadilisha basi hamtofika mbali maana mtajikuta mnaishi kama wapenzi wakati hisia za mmoja wenu au wote wawili bado zipo kwenye urafiki hilo ni kosa kubwa sana na mkishafeli kwenye mapenzi basi hata ule urafiki kama wa zamani hautakuwepo tena.

Ila wengine wanasema love inakuwa nzuri kama mkianza kama friend then lover kwan mnakua mnajuana.
Hii ninakubaliana nayo kabisa. Ikiwa mko marafiki wa kweli, hata kama "mtajaribu" kuwa wapenzi na ikashindikana, nguvu za urafiki zitawaambia muchache hilo lisilowezekana na kudumu katika lile linalowezekana.
Wasiwasi (Amyner na ex friend wako), ni kuwa hata hapo mlipoanza huo urafiki ni kuwa mwanzo mlikuwa kila mmoja wenu anawazia hilo la "mapenzi" kabla ya hata huo urafiki. Mlikuwa mnasubiri tu nani amfunge paka kengele. Mfano, kwa nini ulimkubalia? Kama ungemkatalia ingekuwaje? Bila shaka angesitisha huo mliouta urafiki.

Nakuunga mkono mkuu maana huwezi shika mapembe wenzio wanakamua maziwa tuu km mwanaume lzm roho iume bana

Inauma ila inategemea na mazingira yenyewe. Unaweza ukawa mshkaji na demu lakini demu mwenyewe hakutamanishi kumgonga ngozi, kwaiyo mnabaki kuwa washkaji tu. Tatizo ni pale unapokuwa na mshkaji wa kike afu anakutamanisha au umevutiwa nae kimapenzi, hapo lazma uombe mzigo bwashee, na problem zote huanzia hapo.

Kweli huwa inatokea!
Nadhani ni miongoni mwa mkanganyiko wa kihisia unaoweza kukupata mtu mzima!
Kuna shosti mi nilimchukulia rafiki kumbe ye kazama bwana......!
Da ilikuwa shida na lawama sana, hatuku-move ila pia urafiki haukuwa na nguvu tena...!
So nadhani kinachoua urafiki sio tu kufanya mapenzi na huyo "best friend"

there are many ways of closing friendship chapter with your normal/close/best friend of opposite gender(at our age).........the most femous one is simply by telling her/him "I LOVE YOU" F u dont blv gv it a shot.

it's true ishawai kunitokea nikiwa 1st year i was so close to this gal..i liked her bt sikutaka kumwambia coz katika stori zake aliua anapinga sana mambo ya relashionships so skumwambia c unajua ukikataliwa na bestfrnd wako inavouma!..nilivopata galfrnd kumbe ikamuuma..later she ended up dating someone she didnt like..tulipoingia 2nd year tukajikuta wote tuko single so we started a relationship ambayo ililast within 1 semester only...mpaka tunamaliza chuo we were not even friends anymore just to ppl who used to know each other...ANY WAY I WISH LUCK TO ANY ONE WHO ARE ABOUT TO DATE THEIR BESTFRIENDS..JUST KNOW ITS HARD AND ALWAYS SUCKS WHEN THINGS ARE OVER!

Hivi hawa jina wa siku hizi wanaweza kuwa na urafiki wa karibu na watu wa jinsia tofauti na wao bila ya kufanya ngono?

Enzi zetu hilo lilikuwa haliwezekani kabisa...labda kama mtu alitaka kuitwa majina kibao...kama vile mshika pembe!!

Nafikiri mtu akikomaa kivionjo halafu akawa realistic anaweza maintain urafiki,ingawa mmojawapo akiwa sio mwelewa ndio shida na ni rare kukuta wote wawili ni realistic.

Dah mimi kwangu ipo poa maana ni "friends with benefits" mmoja akimkumbuka mwenzake .........

'friends with benefit'...lol

I once had a friend when I was in a'level. Later nikaanza hisi kumpenda but I never told her coz she was an easy girl and he used to date different boys so I just let it go

Have you ever been secretly in love with your bestfriend (of different gender?) How did it end?
Personally, i just remembered my experience, miaka ya nyuma i had a very close male friend, he was my best friend (atleast by then) but his feelings changed as days went by and suddenly one day he told me what he felt.. I thought why nt giving it a try.. THAT WAS THE BIGGEST MISTAKE WE EVER MADE! It never worked as a couple.. After we broke up there was no close friendship anymore. And now, we are just two people who knew each other.
Mkaogopana

Similar Discussions

Back
Top Bottom