secreterial ya ajira

combra

Senior Member
May 28, 2012
130
31
kunakazi wametangaza ni nyingi sana.je bado wanataka watu wenye original cert or ata transcript watazipoa.mana wengine tusije poteza hela zetu kwa kuwachangia posta na wenye stetionaries.naombeni msaada wadau
 
Kwani tangazo lao linasemaje mkuu? Hata hivyo nakushauri tuma na hiyo transcript. Ni vema ukatumia hiyo 10,000/= (plus certification ya vyeti) kutuma. Maana utajilaumu sana utakaposikia wenzako wameitwa na wamepata kazi kwa kutumia transcript.
 
Acordin na tangazo wamesema transcript, provisional result or result sleep hazitakubalika.
 
du! Mnazidi kunichosha.lkn mbona kwenye tangazo hawaja sema chochote?kwahiyo wana apply the same rules
 
kunakazi wametangaza ni nyingi sana.je bado wanataka watu wenye original cert or ata transcript watazipoa.mana wengine tusije poteza hela zetu kwa kuwachangia posta na wenye stetionaries.naombeni msaada wadau
sasa mkuu umejuaje kama kuna kazi nyingi wametangaza? ni vyema ukajua nafasi za kazi pia uzingatie sana MASHARTI husika haitoshi kujua kuna nafasi ya kazi MASHARTI ni muhimu sana so naomba nikubandikia hapa masharti yao:
GENERAL CONDITIONSi. All applicants must be Citizens of Tanzania and not above 45 years old, however, should also observe the age limit for each position where indicated.
ii. Applicants must attach an up-to-date current Curriculum Vitae (CV) having reliable contact postal address, e-mail address and telephone numbers.
iii. Applicants should apply on the strength of the information given in this advertisement.
iv. The title of the position and institution applied for should be written in the subject of the application letter; short of which will make the application invalid.
v. The title of the position and institution applied for should be marked on the envelope; short of which will make the application invalid.
vi. Applicants must attach their detailed relevant certified copies of Academic certificates:
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma transcripts.
- Form IV and Form VI National Examination Certificates.
- Computer Certificate
- Professional certificates from respective boards
- One recent passport size picture and birth certificate.
vii. FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY NOT ACCEPTED
viii. Transcripts, Testimonials, Partial transcripts and results slips will not be accepted.
ix. Presentation of forged academic certificates and other information in the CV will necessitate to legal action
x. Applicants for senior positions currently employed in the public service should route their application letters through their respective employers.
xi. Applicants for entry levels currently employed in the Public Service should not apply, they have to adhere to Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th November 2010.
xii. Applicants who have/were retired from the Public Service for whatever reason should not apply.
xiii. Applicants should indicate three reputable referees with their reliable contacts.
xiv. Certificates from foreign Universities should be verified by Tanzania Commission for Universities (TCU)
xv. Dead line for application is 11th June, 2012 at 3:30 p.m
xvi. Application letters should be written in Swahili or English
xvii. APPLICATION LETTERS SHOULD BE POSTED TO THE FOLLOWING ADDRESS. HAND DELIVERY IS NOT ACCEPTABLE

Nakushauri uwe unacheck website yao mara kwa mara kama unaacess na intenate na kuwza kusoma mafaili ya PDF wanapatikana http://www.ajira.go.tz/
 
transcript hazipokelewi, so jipange upate nakala ya cheti na iwe certified mkuu

Kaka acha kukalili,kulingana na tanzanzo hilo cjaona sehemu walipoandika kuwa copy za vyeti viwe certified,na huwa wanasema!hivyo tuwe 2natoa ushauri kulingana na tangazo husika,kwani mnawapa presha wa2 wanaohitaji kazi,na kwa nyie waomba kazi fanya kulingana na mahitaji yaliyopo kwenye tangazo husika,sio mnasoma juu juu 2.
 
Kaka acha kukalili,kulingana na tanzanzo hilo cjaona sehemu walipoandika kuwa copy za vyeti viwe certified,na huwa wanasema!hivyo tuwe 2natoa ushauri kulingana na tangazo husika,kwani mnawapa presha wa2 wanaohitaji kazi,na kwa nyie waomba kazi fanya kulingana na mahitaji yaliyopo kwenye tangazo husika,sio mnasoma juu juu 2.

uko sahihi wangu watu wakariri afu wanaboa kinoma cz tangazo la tar 28 ndo limeongelea certfied cop and dedlin tarehe 11, and la tareh 25 tena limeandkwa kwa kisw sanifu kabisa limeongelea nakala za kawaida na dedline tar 8, sema wabongo 2napenda kuvurugana.
 
Back
Top Bottom