Dawa ya kuondoa chelewa (hangover)

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
JF doktaz naomba msaada wenu wa dawa gani ya kutuliza hangover AKA mning'inio.
 
Ukishautwika kabla hujaenda kitandani hakikisha unakunywa glass 2 au hata tatu za maji na kesho yake ukiamka, athari ya mning'inio utaiona ni ndogo sana.
 
Kama umepiga sana mtungi,usiku ukirudi home oga maji ya baridi kabla ya kulala,hii inaweza kusaidia uamke vizuri,Kama asubuhi bado utajihisi una mning'inio kula ndizi ama apple kisha kunywa maji mengi ya baridi(mara nyingi mi hufanya hivi na hunisaidia sana),mning'inio utaondoka kabisa.Kama njia hii itashindikana cha kufanya ni kwenda baa ya jirani kisha zimua kwa bia 1 au 2 mning'inio utatoweka kabisaaaa
 
4 shizzle mannizle......huwa nafanya hivyo lakini naishia kuzimua mpaka jioni yake.......kuna mtu aliniambia niwe napiga nyagi..tatizo la nyagi kila nikinywa inaleta mengine....
 
4 shizzle mannizle......huwa nafanya hivyo lakini naishia kuzimua mpaka jioni yake.......kuna mtu aliniambia niwe napiga nyagi..tatizo la nyagi kila nikinywa inaleta mengine....

Kama ni weekend ukizimua mpaka jioni sio mbaya..Tatizo la Nyagi ukipiga sana inakufanya uanze kuwaza mambo ya kugawana umasikini...Ushajaribu mixer ya Malta Guiness na Nyagi???,usijaribu hata siku moja mwanawani,nilishauriwa kujaribu nikafanya hivyo,kilichotokea,Mungu hapendi....
 
mkuu hakikisha kabla ya kulala umelamba kama 1lita ya maji ya baridi kiasi, na asubuhi ukipata juice au ndizi mbivu hapo baada ya muda mfupi utakuwa mswano
 
Kunywa kistaarabu basi, the easiest way to do that is drinking expensive liquor
sidhani kama kuna expensive liquor........uzuri mie nanywea uswazi na mapombe nisioyajua ya wazungu siyannywi unaweza vunjiwa yai bure....pombe inanywea na mahomeless moscow nitaiweza wapi wapi na joto la town hapa....
 
Eti nini maana ya kugawa umaskini,nausikia sana huu msemo na siuelewi.

Pia jitahidi kupunguza unywaji ili usiamke na hangover next day.
Kugawana umaskini maana yake ni ile hali ya kusaidiana baina ya watu wawili wa jinsia tofauti(ke&me),i.e kumsaidia mwenzio kile anachokosa...YoYo hope nipo sahihi mpwa
 
Mnazungushana hapa nyonya K na tiGo haste haste hakuna mning'inio waziada belive me !
 
Mnazungushana hapa nyonya K na tiGo haste haste hakuna mning'inio waziada belive me !
ukiamkia key yategema umekunywa nini.....kama ni bia kwenye push up angalia sana unaweza kuzomea na ukichanganya na supu ya makongoro uliokunywa....
 
Back
Top Bottom