Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 139
BIM, unanikumbusha enzi zile za komandoo kule home visiwani,na yule alokuwa F/L, kutoka uchaggani.It was so romantic wallahi.....
BIM, unanikumbusha enzi zile za komandoo kule home visiwani,na yule alokuwa F/L, kutoka uchaggani.It was so romantic wallahi.....
Kwa kweli wakati ule wanawake wa kichaga walikuwa ndio ma 1st lady bila kumsahau mke wa warioba nk.
Mkuu hili jina lako lanikwaza sana lanikumbusha nikiwa Dar Ijumaa maeneo ya Polisi mess ooohhh tusker baridi, ama nikiwa jimbo la uchaguzi kule Mwanza Hotel, Villa Park ama pale La Kairo home is best bwana mtu asikwambie...nakosa mishikaki ya kirumba ....samaki uwiiiiiiiiiii!1