Second in command of the Al Qaeda died during MV Bukoba Accident

More on that:

I have come across this and decided to share with you. I was not aware about this.

MV Bukoba was a passenger steamer that sank in Lake Victoria, 30 kilometers from Mwanza, Tanzania on May 21, 1996, killing nearly 1000 people.[1] The boat transported passengers and cargo between Bukoba and Mwanza ports.

The steamer's capacity was 430, but around 800 people drowned as the boat sank to the bottom of Lake Victoria. The manifest showed 443 passengers in the first and second class cabins, but the cheaper third class compartment had no manifest. Abu Ubaidah al-Banshiri, who was at the time second in command of the Al Qaeda organization, died in the accident.

The lack of equipment and divers were partially to blame for the death toll. Rescue teams from South Africa were flown in to salvage the ship and retrieve bodies that sank 25 meters under water.

President Benjamin Mkapa of Tanzania declared three days of national mourning after the tragedy.


MV Bukoba - Wikipedia, the free encyclopedia AND here Abu Ubaidah al-Banshiri - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Unbelievable!...Huenda he has got his bloody-hands in this whole saga!...
 
Fulu stori ya ishu nzima tembelea hii kiunganishi: USA v. Usama Bin Laden - Trial Transcript Day 18 na pia kama huna muda wa kuanzia page ya kwanza pitia trial transcsript za siku ya 18/19/21/71/72/73 southern district of New York.

Hapa utaona umdhanie siye kumbe ndiyo yeye, yaani huwezi amini kuwa mwendesha baiskeli mbovu toka Magomeni katika mitaa ya Dar-es-Salaam alikuwa ndiye kiunganishi kikubwa cha kufanikisha mashambulizi katika ubalozi wa Marekani DSM. Mtu analia apunguziwe bei anunue gari la barafu la kusafirishia pweza kumbe ndilo pia likatumika kati mashambulizi haya ya kusikitisha.

Nisimalize stori nzima pitia hizo transcripts upate vyombo vya uchunguzi vilivyoingia mitaa ya uswahilini DSM na kuendelea mpaka Afrika ya Kusini kupata ushaidi usio na shaka na kuwakilishwa kortini jijini New York.
 
Duaksanteni kwa kunijuza yawezekana alikuwa anataka kulipua Bukoba ama Mwanza
 
Unbelievable!...Huenda he has got his bloody-hands in this whole saga!...

aise inawezekana basi secrete service fulani ndiyo iliyoizamisha ile meli ili kumuua huyu jamaa. Hii inanikumbusha wizi wa almasi na kuzama kwa boti iliyotoka Nansio (Ukerewe) kwenye novel ya Willy Gamba (kwa wale waliovisoma vitabu vya Willy miaka ile).
 
kumbe hawa jamaa ni hatari sana, hadi wana zone za operations! inawezekana hata humu jf wapo pia! tumekwisha
 
Back
Top Bottom