Sebo makutano show: M4C CDM wamecopy na ku paste from Uganda.

sembuli

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
757
383
Nafuatilia kipindi cha makutano show magic fm muda huu saa 9 na robo alasili hii,, kuna huyu jamaa anaitwa sebo anashambulia CDM kama mtu aliyetumwa, anazungumzia vurugu na mauaji ya morogogoro ya ally zona , kwa maongezi yake ni kuwa cdm wamevunja sheria na anaelemea upande wa kamanda shilogile, pia anasema M4C Chadema wamekopi na kupaste kutoka A4C ya kiiza besigye wa uganda.namsikiliza hapa 93.3 dom.katumia maneno makali mpaka fina mango akamwambia yeye hayupo yakimgeukia hayo maneno: kwa anayejua lolote kuhusu huyu SEBO please nahisi pengine ni product ya lumumba!
 
Huyo ni Mganda ambae amesomea Sheria UDSM na amelowea hapa Tanzania sababu kubebwa na wanawake,kazi yake kubwa ni utangazaji alianzia EATV na sasa amekimbilia Magic FM.Lazima ajikombe kwa Magamba sababu anajua akienda kinyume tu,kesho hatakuwepo hapo alipo,ila akae akijua nguvu ya umma haitamuacha acha aropoke tu..atajuta na maneno yake atayatapika hapo
 
kaka na mimi namsikiliza ,yaani ni kama pandikizi la magamba katika vyombo vya habari, aangalie ataharibu kipindi cha fina.
 
Jamaa nasikia ni raia wa Uganda. Mashambulizi yake kwa m4c yameegemea wapi?
 
Huyo ni Mganda ambae amesomea Sheria UDSM na amelowea hapa Tanzania sababu kubebwa na wanawake,kazi yake kubwa ni utangazaji alianzia EATV na sasa amekimbilia Magic FM.Lazima ajikombe kwa Magamba sababu anajua akienda kinyume tu,kesho hatakuwepo hapo alipo,ila akae akijua nguvu ya umma haitamuacha acha aropoke tu..atajuta na maneno yake atayatapika hapo

true dat,huyu jamaa cku zote anakandiaga upinzan katka show zake,ila changes are inevitable
 
Huyu Mganda Sebo iweje achangie mijadara ki-negative ya siasa nchi? Je uganda kwao huko anaisaidiaje kisiasa? Hv huyu mtu kwanin amefanya kazi tz kwa mda mrefu hivyo? Hakuna mtz wa kum-replace? Jamaa ni jitu la majungu sana hili na sherehe nyingi sana za wizara na magamba huwa wanamualika.
 
Jamaa nasikia ni raia wa Uganda. Mashambulizi yake kwa m4c yameegemea wapi?

kaegemea upande wa serikali mkuu, anasema maswali ya vurugu za morogoro viongozi wa cdm wameshindwa kujibu maana ndio chanzo, sasa nimepata jibu kumbe ni muhamiaji haramu!!
 
Nafuatilia kipindi cha makutano show magic fm muda huu saa 9 na robo alasili hii,, kuna huyu jamaa anaitwa sebo anashambulia CDM kama mtu aliyetumwa, anazungumzia vurugu na mauaji ya morogogoro ya ally zona , kwa maongezi yake ni kuwa cdm wamevunja sheria na anaelemea upande wa kamanda shilogile, pia anasema M4C Chadema wamekopi na kupaste kutoka A4C ya kiiza besigye wa uganda.namsikiliza hapa 93.3 dom.katumia maneno makali mpaka fina mango akamwambia yeye hayupo yakimgeukia hayo maneno: kwa anayejua lolote kuhusu huyu SEBO please nahisi pengine ni product ya lumumba!

Huyu mganda hana lolote,humu mjini analelewa na wanawake tu,tena baadhi yao ni makada wa magamba nadhani ndio wamemtuma.huyu jamaa ovyo kweli hata tulipokua UDSM mambo yake hjayohayo ya kujipendekeza
 
Hivi yule mganda mwenzake wa kike (Asha) alikua na kibinda naye nilisikia anauza tu hapa town
 
Huyu Mganda Sebo iweje achangie mijadara ki-negative ya siasa nchi? Je uganda kwao huko anaisaidiaje kisiasa? Hv huyu mtu kwanin amefanya kazi tz kwa mda mrefu hivyo? Hakuna mtz wa kum-replace? Jamaa ni jitu la majungu sana hili na sherehe nyingi sana za wizara na magamba huwa wanamualika.

mkuu ,kumbe jamaa ni mganda, sasa mbona ameulizwa na fina kama amehesabiwa ktk sensa amejibu NDIO! kumbe sensa inahusu na waganda?
 
Wachumia tumbo la huruma utawajua tuu sasa yeye anatoa maoni hayo Kama mganda mpiga kura au magamba family?.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Siku za hivi karibu watu tumekutwa na tatizo kubwa la kutoshughulisha akili zetu au kutouruhusu ubongo kuchambua na kupembua mambo,alichoongea Sebo sizani kama ni big issue kiasi hicho kwani angekua anajua hakuna tatizo ku copy kitu kizuri thats why watu huenda study tour kwenda kuangalia wenzako wamefanya nini ili na we uje ufanye sasa hapo mi kwa upande wangu sijaona tatizo.
 
Sebo anategemea Bia za bure rose garden Leo hii anaingilia siasa za nchi hii Kama nani! Kweli TUMBO mwanaharamu
 
kasoma sheria lakini hajui sheria
he is more than a gold digger.
i know hi very well tangu tukiwa mlimani
watu wa uhamiaji huyu jamaa arudi kwao sidhani permit yake ni ya maisha hapa tz
 
Huyu ndg amshukuru sana mzee mengi kwa kumpatia kazi, Kazi yake kubwa ni kulelewa na wanawake,kukuwadia wanaume wenzie wanawake, aka Unga Unga mwana kwa G8 pale Rose garden. Na huyu TJ aliyeoa wamekutana wote akilizao zinafanana. Soon Tutaanza kuangalia wageni wote wanojichangaya hapa TZ na kujisahu kama wao ni wakuja. Akina Magai wasipokuja ndg yangu hunywi bia unadai una dose ya malaria.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom