Sebastian Kinyondo Mzee wa Mitemba

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Nimekumiss sana hasa sharubu zako na kiko yako. Pia ucheshi wako wakati wa vikao vya bunge.
Mungu ailaze peponi roho yako.
I miss u.
1996496_IMG-20190221-WA0004.jpg
 
dahh umenikumbusha mbali sana ..nakumbuka wakati ule ni waziri wa kazi ,kuna mlemavu mmoja alimvizia pale jengo la ofisi yake ile anatoka tu kwenye lift akamrukia akamsiliba mangumi na kumpiga ngeta kama wezi wa simu mwananymala ...aaah pumzika komredi kinyondo
 
Ahaa,Mungu alitoa ..nazikumbuka sana busara zake ..he used to be impressive na mke wake Kirungo.,R.I.P my former MP(BK.VJ)
 
Alimpa msaada mshikaji wangu na leo hii huko aishiko, jamaa mke wake alimzalia ki-Sebastian ambacho sasa kina karibu miaka 10 sasa. Sijawahi kubahatika kumuona zaidi ya kusikia sifa zake tu huyu Mzee watu wakimshukuru kwa misaada yake.

Kama kuna watoto au ndugu zake basi lazima wawe Proud na ndugu/Baba yao.

Kuna Vi-Sebastian hadi nje ya Tanzania.
 
Kuna viongozi hatupo nao hawakumbukwi lakini walilifanyia taifa hili mambo makubwa sana. pamoja na Kinyondo hapa namkumbuka Mzee wa Shambani Wiki hii - si mwingine ni EDWARD BARONGO aliyewalazimisha kulima Tumbaku wananchi wa Songea. Tumbaku ndo zao la biashara kuu huko tokea wakati huo hadi sasa. Pia aliwazindua wahaya kuwa maeneo la RWEYA yanaweza boreshwa yakawa productive. alifanya kwa vitendo na akazalisha ndizi nyingi na bora kwa kutumia mbolea ya samadi na mboji. Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
 
RIP Mzee Kinyondo,

namkumbuka walipokuwa wanarushiana maneno ya utani bungeni na RWAKATARE kipindi hicho alipokuwa Mbunge wa CAF, Kweli watu wema hawadumu,

kwanini Mungu usingewachukua hawa mafisadi ukatuachia huyu Mzee?
 
Kuna Kampeni moja ya Ubunge mwaka 1990 kati ya Kinyondo na Lutaraka(wote walikuwa CCM enzi hizo),
sasa kampeni zilifika hadi kwa Watumia Kilaji "cha Kienyeji", mnywaji mmoja akawa anasimulia jinsi Kinyondo alivyokuwa Kiboko jamaa anasema kwa kihaya " OLO NAGAMBILE KINYONDO MUSHAIJA, BAI MUWE AKALITA" akimaanisha " kila niliposema Kinyondo Mwanaume, watu wanasema niongezewe Chupa nyingine".
 
Kuna Kampeni moja ya Ubunge mwaka 1990 kati ya Kinyondo na Lutaraka(wote walikuwa CCM enzi hizo),
sasa kampeni zilifika hadi kwa Watumia Kilaji "cha Kienyeji", mnywaji mmoja akawa anasimulia jinsi Kinyondo alivyokuwa Kiboko jamaa anasema kwa kihaya " OLO NAGAMBILE KINYONDO MUSHAIJA, BAI MUWE AKALITA" akimaanisha " kila niliposema Kinyondo Mwanaume, watu wanasema niongezewe Chupa nyingine".

Kweli kabisa, wazalendo hawa mungu angewaacha jamani kwani mafisadi ndowanapeta sasa. R.I.P
 
Mh kweli wana JF mmenikuna,jamaa hawa bwana niliwajua ingawa nilikuwa mdogo.Nianze na Edward Barongo huyu nimwanakijiji ambaye alikuwa na mashamba makubwa ya kahawa,migomba na matunda,lkn pia ndo mtu wa kwanza kukitamburisha CHADEMA kjjn kwetu bwana ingawa kwa sasa mambo yalibadirika sana mpaka kwake paka uzwa kwani alipoingia CDM serikali ikamuona kama adui.Kinyondo marehem ambaye nimzaliwa wa Katoma kweli alikuwa mbunge imara kwani mpaka watu waliwaita watoto wao walio wazaa wakati wake jina la KINYONDO MUNGU KWELI ALITOA tangia hapo BK vvjn haijawai pata mbunge shupavu ila tunategemea 2015.
 
Nakumbuka kuna wakati fulani alitoa kauli hii "Nitawashukia Kama Kipanga (Mwewe)", sikumbuki alikuwa akiwalenga watu gani...Jamaa alikuwa jasiri R.I.P
 
Back
Top Bottom