Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Wadau.. kwa siku kadhaa sasa search engine zote ninazotumia zinarudisha blank pages. Naona tatizo liko kwenye browser settings au kitu fulani kwani computer zote za ndani ni hivyo hivyo. Nikitaka kwenda kwenye webpage inabidi niende kwa kutype url moja kwa moja lakini nikitaka kusearch basi inarudi blank page without any error message..
Naomba msaada...
Naomba msaada...