seacom

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
Wasalaam Aleikum.
ninaomba maelezo kuhusu fibre cable mpya iliyotandazwa na seacom-
kwa matarajio yangu na maelezo toka kwa wajuzi ,nilitegemea internet speed ingeongezaka maradufu lakini speed naona ni ile ile .mimi natumia BB ya TTCL,OS ni Window XP 9
Hivyo naomba elimu kidogo kuhusu haya mambo na ushauri kuhusu speed
 
Ni kweli cable imeshatua nchini lakini ni ma isp wachache walioconnec tayari. Mfano simbanet wameconect lakin wataendelea kutumia satellite katika mawasiano na kutoka kwao kwenda kwa wateja. Ila kwenda kwa isp anayemgawia simbanet ndo fiber. Ttcl au serikali wanajenga mkonga wa mawasiliano sijuoi ni microwave au fiber. Kama ni fiber itakuwa safi sana gharama zitazidi kushuka chini na spidi itazidi kupaa
 
Back
Top Bottom