Schwarzenegger Asema Ukweli Kuhusu Ndoa Yake Kuvnjika

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Hatimae Anorld Schwarzenegger amepasua ukweli kuhusiana na kuachana na mke wake waliyedumu kwa muda wa miaka 25 baada ya Anorld kuweka wazi kua alikua na uhusiano na mwanamke mwingine ambaye wamezaa naye mtoto mmoja. Anorld amewaambia waandishi wa habari kua ilikua ni vigumu mno kumweleza mke wake waliyependana sana kuhusiana na jambo hilo lakini ameomba msamaha kwa mke wake na watoto. baada ya kuachana na mkewe wamekubaliana kuwatunza watoto wao lakini kila mtu achukue ustaraabu wake.
 
medium_tammy.jpg


Haishangazi kutokan na storia ya huyu mbeba vyuma, cha ajabu tu kwamba U.S meda hawakutaka kutuambia ukweli. Nasikia hii habari ilichapishwa in 2003 nagazeti la Daily Mail la U.K, kabla ya power magengeni hajawa Gavana. Angalieni picha ya huyo SUPU, sio mchezo wakuu.
Is This Arnold Schwarzenegger's Love Child?
 
kweli arnold acheze movie nyengine....how did he kept a secret all these years????no wonder dada wa watu kaamua kumove on she couldnt stand the betrayal from those two anymore.....imagine mnaishi wote under the same roof?mnh
 
Hawa Republican, wazee wa maadili, kweli wanamdissapoint Sir. God. Yaani kil siku ni wao tu kuwapiga madarizi wake zao.:mod:
 
Watu wanalazimisha ndoa tu. Sielewi kwa nini watu wanaolewa na kuoa halafu wanakuja wanazisaliti ndoa zao. Kwa nini usibakie mseja tu na ukafanya utakavyo?
 
Watu wanalazimisha ndoa tu. Sielewi kwa nini watu wanaolewa na kuoa halafu wanakuja wanazisaliti ndoa zao. Kwa nini usibakie mseja tu na ukafanya utakavyo?

Eti eeh! lakini ukijiuliuliza sasa watu wazima hivyo wakishaachana inakuaje? je anorld ataendelea na "mpango wake wa kando" kwa maana kwamba atauoa au atakuwa yupoyupo anatoa matunzo ya mtoto.
Sina uhakika kama talaka ni suluhisho la matatizo ndani ya ndoa.
 
Back
Top Bottom