Scholarships in U.S.A and CANADA.

Du mkubwa, wewe unataka Scholarship, tena kuapply hiyo scholarship unalipa hela? ya nini? Mkuu naona utakuwa umeliwa!
 
duh...unakumbuka shuka kumekucha.....sasa si bora ungeuliza kabla ya kuwapa hiyo $45..

$45 unaweza kufanyia mambo mengi weekend dar.
 
Kwa kifupi hiyo $45 imeshaliwa, sijawahi kusikia kuwa kuna pesa yoyote ile inatakiwa kwa ajili ya postage. wewe huna pesa ya kusomea halafu hapo hapo wanokupa pesa wanataka uchache kwa ajili ya postage.
 
jamani nyie kina mtindio wa ubongo na masamilo,badala ya kumsaidia mwenzenu nyie mnamkatisha tamaa.

kwanza hamjamjibu suali lake.ameuliza je hawa watu ni trustful au vipi, nyie mnamwambia ameliwa maana yake ni nini.

mlichotakiwa nikupitia hiyo link na kupata taarifa zilizomo ili mjue kwa nini ametuma hizo dolla 45 huko.

inawezekana kabisa ni kwa ajili ya application alizopeleka.mbona hata hapa nchini ukipeleka application forms unatozwa na kisindikizio chake.
 
Kuliwa maana yake those guyz are NOT trustful....unaomba scholarship unaingia gharama tena weee vipi bwana Ijumaa bado....
 
Kwa anayejua,hawa jamaa ni wa kweli au ni wale scholarships scamers?....Nisaidieni ku confirm maana nimeapply kwa US$45 nataka nikatake Architecture Cartography.Kama nimeliwa nianze upya na mnipe link zingine.
Bofya hapa: Assistance Étudiants Étrangers - Scholarships for foreign students- Bourses pour étudiants étragers

I think it is a SCAM. Kwanza angalia quality ya website. It looks so amateur.
Tuwe waangalifu ktk hizi dili za chapchap.
Ninakumbuka kwa Michuzi kuna scholarship za OPEC zilitangazwa, lakini ukiangalia website, it looked suspicious.

Tafuta chuo ktk nchi unayotaka kwenda halafu angalia kama wanatoa scholarship to international students. In most cases if they don't, they do give a link to government agencies which fund their students.
 
Hakuna hata siku moja ukaomba scholarship alafu ukaombwa application fee. Au hao jamaa ni ma-broker tu wanakula pesa yako alafu ndio wanakupa link ya kuomba scholarship kama hii Grantfinder
 
Hakuna hata siku moja ukaomba scholarship alafu ukaombwa application fee. Au hao jamaa ni ma-broker tu wanakula pesa yako alafu ndio wanakupa link ya kuomba scholarship kama hii Grantfinder

ofcourse yes,ni brokers.Ukisoma web yao wanasema after sending the $45,they'll send to you a list of colleges,universities consisting itinerary etc.
 
ofcourse yes,ni brokers.Ukisoma web yao wanasema after sending the $45,they'll send to you a list of colleges,universities consisting itinerary etc.

Kumbe watafanya kazi ya kukuletea list ya...Mimi nilidhani kuwa hiyo kazi hata wewe ungeweza kuifanya..

Kama ni hivyo, bado upo mbali sana na ku-secure funds for your education mkuu!
 
mkubwa ninavyoelewa mimi ni kuwa ili kupata application form ya chuo chochote,ni lazima ulipe application fee,ambayo huwa ina range kuanzia 45$ hadi 60$,kwa sababu kabla hujaomba scholarship lazima uwe admitted ktk chuo husika,na kuapply unaweza kwenda online ukalipa kwa credit card au ukadownload pdf form ukijaza na ktk kuipost unakiwa uipost pamoja na cheque au au bank statement ya kiwango husika,kwa hiyo siwezi kusema kuwa imekula kwako au vp unachotakiwa kufanya ni kuverify kama hao jamaa uliowatumia ndo wahusika halisi au sio.usikatishwe tamaa na maneno ya watu.endelea kufuatilia taratibu kamilisha process zote zinazotakiwa.mimi mwenyewe nafuatilia ishu hizo so tunaweza kuwasiliana tusaidiane na kama ukipata nipe info.shwari
 
Sometimes ni vizuri kama mnawasiliana na balozi kwanza kabla hamjafanya malipo ya aina yoyote. Zipo scholarships nyingi ambazo ni scam. kama upo bongo basi nenda kwenye balozi za canada na marekani utapata maelezo mazuri zaidi kuliko kujiingiza kwenye mkenge kama huu. Balozi kawaida huwa zina taarifa za scholarships mbalimbali zinazotolewa katika nchi zao. Ni ushauri tu.
 
Uhalali wake umelala mikononi mwako ila it sounds awkward. US wana tabia hii sana ila kama ni sehemu nyingine kuwa very doubtful.
 
Wapendwa jamaa kaliwa hiyo ni sawa je atapata wapi schoolarship? huo ndio msaada kwa mkulima mwenzetu! mtoto wa mzawa na mzalendo wa nchi huenda $45 aliuza mihogo yake tumpe msaada kwa wenye uelewa wa mambo hayo
 
Back
Top Bottom