Mbona mimi nimeshindwa kufungua pdf hiyo ya Pape?goodluck!
na mimi nimeshindwa!Nimerekebisha wakuu! Samahani kwa usumbufu!
Note: Nadhani server ya jf ndiyo inashida! Wasilianeni na Invisible kwa msaada zaidi!
Kuishi India siyo lelemama! Unatakiwa uwe na roho ya paka! Sijapata kuona binadamu wachafu kama hao! I mean it! Nyie waoneni hawa wahindi wa hapa kariakoo etc, hehehehe wakiwa kwao hao ni wachafu zaidi ya hapo hata vyoo vinaunafuu! Pili ni wabaguzi hakuna mfano! Ila wao wakibaguliwa wataandamana na kupiga kelele kama mbwa koko!Asante best ila siyo siri siwezi hata kuomba kwenda huko bora nisomee hapa kwa wajaluo badae nirudi home!