Scholarship! Scholarship!! India 2011/2012

RUSHAMAWE

Member
Oct 10, 2010
7
0
Kwa wale wanaohitaji kusoma India kupitia scholarship za ICCR kwa mwaka wa masomo 2011-2012, tembelea http//www.hcindiatz.org/education.asp!! hizi ni scholarship za uhakika zenye masharti mepesi....mimi pia niko India kupitia scholarship hizi!! kwa ushauri zaidi ntaweka mawasiliano yangu baadaye!! ALL THE BEST!!
 
hata ukiwa Tanzania unaweza kufa jamaa zangu. Kama mtu upo willing and able just apply and dont scare. Ni kama mm wakati nilipofaulu kwenda kusoma Tanga niliambiwa kuwa kuna wachawi kibao ukikanyaga gunzi barabarani linakumind but nilivyoenda Tanga kulikuwa hakuna kitu kama hicho hakuna wachawi wal mchawi wala mtoto wake mchawi so guys the same apply to this. Kama huamini ni pm i will tell you many things an situation about abroad.
 
Back
Top Bottom