Scholarship kwa watanzania

GREGO

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
4,280
2,900
SCHOLARSHIP KWA WATANZANIA

Jamani kwa wale wanaopenda kuongeza elimu kuna wajaribu hapa waone bahati zao ni nchi tofauti tofauti kama ilivyooneshwa kwa maelezo zaidi click link husika
  1. CHINA: http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Chinese govt scholarship 2016-17.pdf
  2. IRAN: http://www.tcu.go.tz/images/pdf/MINISTRY OF EDUCATION - IRAN SCHOLARSHIPS.pdf
  3. PAKISTAN: http://www.tcu.go.tz/images/pdf/NAFASI ZA MASOMO NCHINI PAKISTAN.pdf
  4. USA: The Fulbright Junior Staff Development (JSD) Program | Dar Es Salaam, Tanzania - Embassy of the United States
  5. UK: Chevening in Tanzania | Chevening
  6. http://www.ofid.org/FOCUS-AREAS/Beyond-the-scope/Scholarship-Award
  7. UK: Commonwealth Shared Scholarships – information for candidates | Commonwealth Scholarship Commission in the UK
  8. UK: GDAI - MSc Scholarships | SOAS, University of LondonMasters scholarships at the London School of Hygiene & Tropical Medicine
  9. UK: International (Non EU) students - Postgraduate - Newcastle University
  10. http://www.aaionline.org/programs/eadb/
  11. UK: The Julius Nyerere Master's Scholarships | The University of Edinburgh
  12. UK: Ambassador E.O. Kolade Scholarship - Awards for Overseas students - Awards - Diploma, LLM, MA, MSc and MSc (Research) programmes - Scholarships for study at LSE - Financial support - Money matters - Students - Staff and students - Home
  13. Application - TGCL
  14. NEW ZEALAND: https://www.mfat.govt.nz/en/aid-and...ble-countries-and-regions/africa-scholarships
  15. UK: Money matters | Winchester School of Art | University of Southampton
CC 365
 
Asante mleta Uzi ngoja nicheki kozi itakayo nifaa na pia kama itakuwa na mashariti rahisi zaidi. Ngoja nifungue hii ya Pakistani maana nikiona masomo yamenishinda nikavae bomu.
Kila la kheri mkuu
 
Mkuu vipi za norway,sweden,finland na danmark????
Norway walitoa EnPE/STATOIL na interview ilifanyika Dec.mkuu na Quota Scheme 2016/17 haitakuwepo walisema wanapitia terms.

Sweden & Finland najaribu kuzisaka muda si mrefu ntaziweka hapa mkuu
 
mbona kama zote ni kwa wale wanao taka kusoma masters tu na ni zile course za art......hivi nilitaka ya kusoma degree ya ultrosound siwezi pata kama zipo naomba link
 
mbona kama zote ni kwa wale wanao taka kusoma masters tu na ni zile course za art......hivi nilitaka ya kusoma degree ya ultrosound siwezi pata kama zipo naomba link
Sawa mkuu ntazipost hapa kesho
 
Norway walitoa EnPE/STATOIL na interview ilifanyika Dec.mkuu na Quota Scheme 2016/17 haitakuwepo walisema wanapitia terms.

Sweden & Finland najaribu kuzisaka muda si mrefu ntaziweka hapa mkuu
kuna jamaa yangu kapayta hiyo ya STATOIL,mkuu hizo za sweden wataachia lini?,pia
 
wadau zile za korea "KOREAN GOVERNMENT SCHOLARSHIP" mwisho tarehe 29/02/2016 changamukieni fursa.ila kwa bahati mbaya naona nao mwaka huu wamepeleka direct kwa wafanya kazi wa serikali
 
wadau zile za korea "KOREAN GOVERNMENT SCHOLARSHIP" mwisho tarehe 29/02/2016 changamukieni fursa.ila kwa bahati mbaya naona nao mwaka huu wamepeleka direct kwa wafanya kazi wa serikali
Mkuu kuna za UK pia walizotoa BG sijui kama umeziona?
 
Back
Top Bottom