Scene zingine za movie balaa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Jionee mwenyewe...

DSC06290.JPG
 

Attachments

  • DSC06272.JPG
    DSC06272.JPG
    145.1 KB · Views: 207
Halafu huyu si mke wa mtu?

yupo kazini hapo mkuu...

kama mi na wewe twaweza kuwa na wake zetu wanafanya kazi huko...halafu kuna majamaa yanawamendea...kama wasipokula basi unadhani hata kunawa watashindwa????? wapi mkuu watashikwa makalio na vingine hata kama hawapendi..na hawatoshitaki popote..nani atawaamini hata wakishtaki...

kuna yule mama wa kizanzibari Laila Rashid nadhani alikuwa TAMWA kabla ya huyu mama Ananilea Nkya..aliwahi kumshtaki bosi wa TACAIDS jenerali mmoja mstaafu...sijui hata ile kesi iliishia wapi....

ndiyo mambo ya kisasa hayo...ndiyo sababu wazee wetu enzi hizo walitengeneza mfumo dume ambapo wanaume ndiyo walitoka kufanya kazi na wake zao kukaa majumbani kuhudumia familia...

siku hizi familia zinahudumiwa na mafulbeki na baba ana kimada ofisini kwake na mama ana kibuzi ofisini kwake....wakirudi kila mtu kachoka baada ya shughuli za mchana kutwa na ile ya lunch break!!!!!!!!!!
 
haya mambo wabongo hawawezi lazima wa do, wazungu they can and they take as a profession mfano JADA kwenye movie ya JASON LYCS
 
haya mambo wabongo hawawezi lazima wa do, wazungu they can and they take as a profession mfano JADA kwenye movie ya JASON LYCS
..Niliwahi kuangalia hii movie dah! nikajifikiria hivi hata Will Smith anapocheki anaichukulia kuwa ni kazi au namna gani vipi??
 
haya mambo wabongo hawawezi lazima wa do, wazungu they can and they take as a profession mfano JADA kwenye movie ya JASON LYCS

Sawa wanweza chukulia kama proffesional, je inakuaje wengi wanakutana kwnye movie halafu wanadate au kuoana bada ya hapo?(angalia idadi ya actors walio oana baada ya movies) nadhani nao ni benadamu kuna tabia za kila aina ndani ya Hollywood haswa ukisingatia wengi wahawa ma stars ndio alikau na maisha magumu ya ku struggle waku follow their dreams , wengi wamelal kwnye magari yao wengi wali kuwa wana waiting tables wengi walisha kua gigolos ,hookers na escorts ,mfano Charliez Therone ali lipiwa one way tikect kwenda holywood hukua kiwa ame lost kipesa sasa je ,binadamu kama wana anapo kua kwney scene za mapenzi je hawawezi tamaniana na kupeana number kisiri?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom