Sbs television australia warusha polisi walivyowapiga raia arusha

Ingekuwa ndani ya uwezo wao CCM wangewakataza kurusha ilo tukio
 
Hii imekula kwa CCM!! Tatizo mkuu wa Kaya bado anakula 'bata' la Xmas na Mwaka Mpya, pengine atakaporudi kazini anaweza sema chochote!!!
 
Haya Jakaya unatawala kwa kupanda juu ya maiti za watanzania wasio hatia Mungu atakulipia kabla hujamaliza miaka mitano
 
Back
Top Bottom