Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

sometimes mimi namchukulia mungu ni kama imaginary friend ! created by ( we ) humans ...

Man made god who made man in essence to shift responsibility and entertain a point of last refuge wishful thinking psychology.

Ukiwa na mungu huhitaji kujisumbua sana kuhusu environmental protection, CO2 level ziki raise utaomba mungu alete miracle tu.

Plus, kukubali ukweli kwamba hakuna mungu ni ukiwa mkubwa, kwamba we are on our own. People would rather believe in a sweet lie that there is a big daddy up there than face the bitter truth that we are on our own and carry the final responsibility.
 
Ha ha ha ha ha, pundit teyari ameonyesha kukimbia ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
mkuu kiranga toka jana nilikuona kwenye topic ya rafiki yangu vor iliyokuwa inaongelea kifo na mungu, kwenye maelezo yako ya leo hapa ha
yana tofauti na ya jana. Hivi kwa nini unasema na kuamini kuwa mungu hayupo? Na kama hayupo sisi binadamu tumetokana na nini?
Nijibu kwa faida ya wote

evolution man!!
 
Poor reply. Try again

Obviosly your understanding of science is even poorer. I have no need to "try again".

Science doe not claim to know everything, but provides a far more satisfactory, frank, more peerly reviewed explanation of nature.

Religion claims to hold the answer to everything, but seldom addresses any tangible question in a comprehensive non-authoritarian, open to challenge manner.
 
Obviosly your understanding of science is even poorer. I have no need to "try again".

Science doe not claim to know everything, but provides a far more satisfactory explanation of nature.

Religion claims to hold the answer to everything, but seldom addresses any tangible question in a comprehensive manner.

Unajaribu kuleta zile dismiss dismiss zenu. Hazisaidii kitu hapa. Swali langu lipo pale pale, KWANINI SAYANSI ILISHINDWA KUGUNDUA HII SAYARI KITAMBO? JIBU SWALI BANA
 
Religion claims to hold the answer to everything, but seldom addresses any tangible question in a comprehensive non-authoritarian, open to challenge manner.

Hatuzungumzii DINI HAPA. Jibu maswali bana.

Usifikiri unaweza pindisha mada bana. KWANINI SAYANSI ILISHINDWA KUGUNDUA HII SAYARI KITAMBO?
 
viper, Christopher C alipo fika Jamaica, je, yeye ni kweli aligundua Jamaica?

swali lako lina utata... kugunduwa kivipi... ? like the way we discovered anti malaria drugs or..? !
 
Mkuu kiranga toka jana nilikuona kwenye topic ya rafiki yangu VOR iliyokuwa inaongelea kifo na mungu, kwenye maelezo yako ya leo hapa ha
yana tofauti na ya jana. Hivi kwa nini unasema na kuamini kuwa mungu hayupo? Na kama hayupo sisi binadamu tumetokana na nini?
Nijibu kwa faida ya wote

Huhitaji kujua exactly binadamu wametokea wapi ili kutoamini kwamba binadamu ameumbwa na mungu.

Huhitaji kujua exactly square root ya 8 ni nini ili kujua kwamba square root ya 8 si 4.

Kuhusu kwa nini nasema kwamba mungu hayupo, ukisoma the classic theological arguments against god utaona kuna kitu kinaitwa "The Problem of evil" nimeongelea hili hapo juu.

Hivi kwa nini mungu mwenye uwezo wote, na upendo wote, aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
 
swali lako lina utata... kugunduwa kivipi... ? like the way we discovered anti malaria drugs or..? !

Utata upi, wakati ndio sayansi na historia inavyo dai. Jibu swali. Je, ni kweli Christopher C aligundua Jamaica?
 
Huhitaji kujua exactly binadamu wametokea wapi ili kutoamini kwamba binadamu ameumbwa na mungu.

Huhitaji kujua exactly square root ya 8 ni nini ili kujua kwamba square root ya 8 si 4.

Kuhusu kwa nini nasema kwamba mungu hayupo, ukisoma the classic theological arguments against god utaona kuna kitu kinaitwa "The Problem of evil" nimeongelea hili hapo juu.

Hivi kwa nini mungu mwenye uwezo wote, na upendo wote, aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Hivi mbona Mungu anakupa ugonjwa wa MOYO? Kama hayupo, kwanini watokwa na POVU na kutumia NGUVU zako kuzungumzia kitu ambacho hakipo? HIVI ZIPO KAMILI WEYE?
 
Utata upi, wakati ndio sayansi na historia inavyo dai. Jibu swali. Je, ni kweli Christopher C aligundua Jamaica?

Nope obvious aliwakuta watu pale.. BUT Christopher C made it famous ..
 
Kwahiyo hakugundua, na unaposema famous ni kwa kina nani? Maana Jamaica ilikuwepo kwa Wajamaica? Sasa mzungu kujuwa kuwa kuna Jamaica ndio unasema famous?
 
Hivi mbona Mungu anakupa ugonjwa wa MOYO? Kama hayupo, kwanini watokwa na POVU na kutumia NGUVU zako kuzungumzia kitu ambacho hakipo? HIVI ZIPO KAMILI WEYE?

Nilishawahi kumpa mungu nafasi ya kuniua hapa, akashindwa, achilia mbali ugonjwa wa moyo.

Mimi niko hapa kupinga ignorance, na belief in a god is part of that ignorance. We must fight ignorance with all might.

Ukiangalia signature yangu utajua nasimamia wapi kwenye swala zima la supernatural beliefs, sio tu mungu.

Naweza kusema hata umasikini wetu Tanzania unaendana na imani hizi za supernatural, kama za mungu.

Wachimba madini huko Mererani wanakufa, rais anasema kirahisi tu "Hii ni kazi ya mungu" bila kuangalia suala zima la usalama katika process ya uchimbaji wa madini.

Nchi haina umeme, rais basically anasema yeye si mungu na hana uwezo wa kunyesha mvua.

Kwa hiyo utaona jamii inayoamini mungu inamtumia mungu kukwepa responsibility yake, umasikini unakuwa explained kama "kazi ya mungu" na utajiri kama "bahati" na "kazi ya mungu pia"

Kuna mtu katuambia hapa mafanikio yake yanatokana na zaka.

Ni ujinga kama huu unaotokana na imani ya mungu ndio unaoniuma zaidi kuliko imani yenyewe tu.
 
yep! kulikuwa na natives pale ... ! ( nimesahau kabila yao ) .... since jamaica ni kisiwa na columbus alitoka mainland so alikifanya kijulikane kule alipotokeaa yeye kwamba "jamaaaniiii kuna kisiwa kinaitwa jamaica... habari ikifika europe.. imefika states.. ikifika states imefika asia.. ikifika asia imefika dunia nzima....

unaswali jengine ?!
 
Nilishawahi kumpa mungu nafasi ya kuniua hapa, akashindwa, achilia mbali ugonjwa wa moyo.

Mimi niko hapa kupinga ignorance, na belief in a god is part of that ignorance. We must fight ignorance with all might.

Ukiangalia signature yangu utajua nasimamia wapi kwenye swala zima la supernatural beliefs, sio tu mungu.

Naweza kusema hata umasikini wetu Tanzania unaendana na imani hizi za supernatural, kama za mungu.

Wachimba madini huko Mererani wanakufa, rais anasema kirahisi tu "Hii ni kazi ya mungu" bila kuangalia suala zima la usalama katika process ya uchimbaji wa madini.

Nchi haina umeme, rais basically anasema yeye si mungu na hana uwezo wa kunyesha mvua.

Kwa hiyo utaona jamii inayoamini mungu inamtumia mungu kukwepa responsibility yake, umasikini unakuwa explained kama "kazi ya mungu" na utajiri kama "bahati" na "kazi ya mungu pia"

Kuna mtu katuambia hapa mafanikio yake yanatokana na zaka.

Ni ujinga kama huu unaotokana na imani ya mungu ndio unaoniuma zaidi kuliko imani yenyewe tu.

Hivi lini utajifunza kujibu maswali weye?

Hivi mbona Mungu anakupa ugonjwa wa MOYO? Kama hayupo, kwanini watokwa na POVU na kutumia NGUVU zako kuzungumzia kitu ambacho hakipo? HIVI ZIPO KAMILI WEYE?

KWANINI UTUMIE NGUVU ZAKO ZOTE NA KUTOKWA POVU KUZUNGUMZIA MUNGU AMBAYE HAYUPO? JIBU SWALI BANA, NINI BANA WEYE VEWE.

I don't care what you asked God to do to you. I don't give a sh,,,t.

Swali langu bado lipo pale pale, vipi wazungumzia kitu ambacho hakipo?

Psalm 14 [SUP]1[/SUP]The fool hath said in his heart, There is no God. They are corrupt, they have done abominable works, there is none that doeth good.
 
Hatuzungumzii DINI HAPA. Jibu maswali bana.

Usifikiri unaweza pindisha mada bana. KWANINI SAYANSI ILISHINDWA KUGUNDUA HII SAYARI KITAMBO?

Mbona nishakujibu, au hujui kusoma?

Sayansi inajenga knowledge base yake step by step, watu walikuwa wanaamini kwamba jua linazunguka dunia, wakaja kina Galileo na Copernicus wakagundua dunia inazunguka jua.

Watu walikuwa wanaamini kwamba speeds zinaweza kuwa added indefinitely, akaja Einstein katika relativity akatuonyesha kwamba the speed of light is the speed limit of our universe.

Kwa hiyo sayansi haibishi kwamba kuna vitu ambavyo hatukuviju jana tumevijua leo, wala ambavyo hatuvijui leo tutakavyovijua kesho.
Ukijua hilo, utaona kwamba swali lako halina msingi.

Swali lako lingekuwa na msingi kama sayansi ingejidai kama dini kuwa na majibu yote ya maswali yote tangu mwanzo.

Labda swali zuri zaidi ni kuuliza watu wa dini kama wakristo, kwa nini dini haikutuambia kuhusu hizi sayari? Kwa nini biblia ilivyoandikwa na tukaambiwa Yesu ndiye njia pekee ya kumfikia mungu, biblia haikufafanua kwamba, kama wakija kutokea watu kwenye sayari nyingine, mwokozi wao atakuwa Yesu huu huyu wetu au wao nao watakuwa na Yesu wao? Na kama watakuwa na Yesu wao, ni kweli kwamba Yesu ndiye njia pekee kumfikia mungu ?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom