Sayansi yafanya mambo yake tena!!! Mungu yuko wapi?

Mungu yupo na ataendelea kuwepo siku zote, kama shetani apendaye yeye awepo mawazoni mwa wanadamu naye huwapa uwezo watu vipofu kuona kama Mungu hayupo. Vifo vinavyotokea ni kwa kuwa hatuja amini kama yeye huweza kuokoa, na hata vivyo hivyo, maisha baada ya kifo ni sayari gani? uliza mwanasayasi alivumbua sayari kama yeye anayo roho ya ziada. Hakuna maradhi yasio tibika, ila kama shetani anataka utawala, hufanya hivyo kupata akili za wanadamu dhaifu. Pia kwa nyongeza magonjwa ni biashara ya nchi za magharibi kutoka kwa freemasons ili waweze kushika uchumi wa dunia. MUNGU YUPO!! NO MATTER WHAT SCIENCE INVENTS ARE!!!

Umeulizwa hapo juu, hata vile vitoto vichanga vinavyokufa na miezi kadhaa navyo vinakufa kwa sababu anataka viamini na haviamini?
 
You see, unajaribu kukimbia mambo uliyoyaanzisha. Ni jambo la aibu sana, kuanzisha mambo halafu washindwa kuyatetea.

Mambo gani? Unaongea jumla jumla bila kuwa specific.Tabia ya mfamaji katika majadiliano.
 
Sin causes that.

Sorry mkuu niliondoka baada ya kuona huna hoja ila asante kwa kujibu kwamba matetemeko yanasababishwa na SINS ... sasa wacha nikuthibitishie Mungu wako ndiye anayesababisha haya mambo ...

Numbers 16:30-34

shows us that God sometimes causes natural disasters as a judgment against sin.

30 But if the Lord creates something new, and the ground opens its mouth and swallows them up with all that belongs to them, and they go down alive into Sheol, then you shall know that these men have despised the Lord." 31 And as soon as he had finished speaking all these words, the ground under them split apart. 32 And the earth opened its mouth and swallowed them up, with their households and all the people who belonged to Korah and all their goods. 33 So they and all that belonged to them went down alive into Sheol, and the earth closed over them, and they perished from the midst of the assembly. 34 And all Israel who were around them fled at their cry, for they said, "Lest the earth swallow us up!"

We can understand why natural disasters occur. kama ulivyodai ni SINS . What we do not understand is why God allows them to occur. Why did God allow the tsunami to kill over 225,000 people in Asia? Why did God allow Hurricane Katrina to destroy the homes of thousands of people?

Narudia kwenye swali langu tena na tena !... huyu mungu kwa nini Alete gharika ambazo zitavunja hadi nyumba anazo abudiwa yeye! ?? ni sawa sawa na baba ameudhiwa na mwanaye mmoja nyumbani basi anaanza kuchapa bakora wanaye wote na kuvunja thamani pamoja na nyombo vya ndani.. HUYU BABA ATAKUWA NA AKILI KWELI..??!
 

I see christians and muslims plus others have shied(sp) off this discussion for obvious reasons...


dada yangu! hii discussion tuliiona kitambo.. sana! nilikuwa nawaacha hawa muslim haters wa JF .. Doedoe A.K.A MAX SIMBA na mwenzake lordjustice1 .. wajenge hoja.. maana wamshazoea copy cut! sasa wamekutana na watu wenye kujenga hoja na kule wanako copy hakuna majibu baasi wanaishia kuzunguka bila kutoa majibu!

kuna swali walikuwa wakikwepa kujibu wameletwa na wakarudi palepale katika hili swali
We can understand why natural disasters occur. kama ulivyodai ni SINS . What we do not understand is why God allows them to occur. Why did God allow the tsunami to kill over 225,000 people in Asia? Why did God allow Hurricane Katrina to destroy the homes of thousands of people?

kujibu hili swali lahitaji mtu anayeweza kufikiria katika 3D .. ONLY a muslim can Answer this kind of question -

kwanza nianze katika dini yetu Allah anasemaje kuhusu Natural disasters -

al-An'aam 6:65
Sema: Yeye ndiye Muweza wa kukuleteeni adhabu kutoka juu yenu au kutoka chini ya miguu yenu, au kukuleteeni fujo la mfarakano, na kuwaonjesha baadhi yenu jeuri ya wenzao.

In islamic view of point Earth quake ni punishment naweza kukupa mfano kutoka kwa watu wa saleh katika sura al- araf walimkosa mola na kusema kwa jeuri kwa mjumbe wake kwamba hebu lete basi hiyo adhabu mola wako aliyotuahidi

They killed the she-camel and defied their Lord's command and they said, "O Salih! Bring to us that punishment which you promise us if you are from amongst the Messengers". The earthquake seized them and they became faced down laid in their houses. (Surah 7:77-78)

The earthquake seized them and they became prostrate on their knees in their homes. Those who rejected Shuayb (alayhis' salam) seemed as though they never lived in those homes and those who rejected Shuayb (alayhis' salam) they were the losers. (Surah 7:91-92)


hapa tutanona
Earth quake ni adhabu toka kwa mola


2nd Part nitawajibu kwa logic -


-
Allah is good! Many amazing miracles occurred during the course of natural disasters that prevented even greater loss of life. hujasikia ile habari japan mtoto aliyesurive na watu wakasema ni miracles hiii ni mawaidha tosha kumkumbusha mtu Mungu yopo soma hapa
http://newsfeed.time.com/2011/03/15/miracles-in-japan-four-month-old-baby-70-year-old-woman-found-alive/

- Natural disasters cause millions of people to reevaluate their priorities in life.

- Hundreds of millions of dollars in aid is sent to help the people who are suffering.

3rd kwako viper Nyumba za ibada nyingi zime survive wakati wa haya majanga ni mawaidha tosha kwetu sisi bin adam....




gggggggggggggggggggg
mosque-aceh-tsunami.jpg



Hii tena ipo baharini kabisa ika survive tsunami


Tsunami%2Bdamage_mosque_2.jpg



165364_1777239040736_1532161715_31850787_8036844_n.jpg


picha hizi chini japan march 2011


jpnmosque.jpg



soma zaidi hapa http://www.snopes.com/photos/tsunami/mosque.asp


VIPER HOW WOULD YOU EXPLAIN THIS

 
Last edited by a moderator:
Kwamba hayo majengo yalikua imara kuliko mengine?!

Unajua haya mambo ya dini ni imani tu, ni sawa na wale wanaoamini ng'ombe, jua na maji kuwa ni miungu. Hindu karibu kila kitu kilicho muhimu maishani mwao ni mungu, sasa kwa waislamu na wakristu mmtataka kuwabishia na kung'ang'ania kuwa mungu ni mmoja na nini na nini!
Hata wale wenye siasa kali wa kiislamu kuamini kuwa kuua watu kutawapelekea sijui mbinguni na na nini hizo zoteni porojo, au wale wakristu kuamini dini zingine zote ni fake na ya kwao tu ndio yenyewe, yote ni hadithi tu za abunuwasi.

Uzuri wa dini kama mfuatiliaji sio "fanatic", basi humfanya kuwa na ustaarabu wa kujieshimu na kueshimu wengineo, kero ni pale wanapotaka kila mtu awe ka wawo!

Imani haina sayansi, huwezi kuipima wala kui prove, zadi ya kukubali hayo maandiko yalioletwa na waarabu na wakristu.

Sayansi ina majibu yake, na kama hamna basi binadamu anaendelea kutafuta, huwezi kuendelea ku force watu wawe wanasali sala tano kwa siku na kufunga, au watu kusoma agano jipya na kwenda kanisani mara kwa mara, haya ya kulazimishana yaliletwa na hao wenye dini wenyewe, sie ni wafuataji, sio dini yetu hiyo, tumeiga tu.

Uzuri wa sayansi ni kwa wewe mwenyewe kujiuliza, kama isingekuwepo je, tungeweza kusafiri na ndege? kwa magari? kutibu wetu? Kuacha kutegemea nguo za pamba? Kuacha kutegemea umeme wa maji? Au kutegemea maji ya kunywa ya kutoka vyanzo vichache?

Sasa hio ndio sayansi, inatutatulia matatizo yetu ya kila siku, dini kwa upande wangu naona imesaidia watu kufuata sheria za nchi, nchi ikiwa na sheria za nchi sio lazima iwe na dini, dini ilikuwepo ili watu at least wawe na sheria. Na ndio maana kila siku serikali inadai, nchi inafuata katiba, sio kuran au biblia la agani la kale au jipya.

Sasa wajuzi wa madini ya watu watakuja na verses na nini, lakini ukweli ndio huo
 
Nilishawahi kumpa mungu nafasi ya kuniua hapa, akashindwa, achilia mbali ugonjwa wa moyo. Mimi niko hapa kupinga ignorance, na belief in a god is part of that ignorance. We must fight ignorance with all might. Ukiangalia signature yangu utajua nasimamia wapi kwenye swala zima la supernatural beliefs, sio tu mungu. Naweza kusema hata umasikini wetu Tanzania unaendana na imani hizi za supernatural, kama za mungu. Wachimba madini huko Mererani wanakufa, rais anasema kirahisi tu "Hii ni kazi ya mungu" bila kuangalia suala zima la usalama katika process ya uchimbaji wa madini. Nchi haina umeme, rais basically anasema yeye si mungu na hana uwezo wa kunyesha mvua. Kwa hiyo utaona jamii inayoamini mungu inamtumia mungu kukwepa responsibility yake, umasikini unakuwa explained kama "kazi ya mungu" na utajiri kama "bahati" na "kazi ya mungu pia" Kuna mtu katuambia hapa mafanikio yake yanatokana na zaka. Ni ujinga kama huu unaotokana na imani ya mungu ndio unaoniuma zaidi kuliko imani yenyewe tu.
kiranga ukitaka kumjua mungu nakushauri usome biblia,esp mungu ninayemjua ni mungu,wengine tunasema ni miungu,huwezi kuprove kama yupo kwa kumwambia akuuwe hapa,hapa najua ni ngumu kukuelewesha wewe mpagani
 
Key conclusion of book Grand Design by Prof Stephen Hawkings(also author of widely acclaimed Brief History of Time) is there is no place for God in theories on creation of the Universe. Because there are laws such as gravity the universe can and will create itself from nothing. It is not necessary to invoke God to set the universe going.
 
kiranga ukitaka kumjua mungu nakushauri usome biblia,esp mungu ninayemjua ni mungu,wengine tunasema ni miungu,huwezi kuprove kama yupo kwa kumwambia akuuwe hapa,hapa najua ni ngumu kukuelewesha wewe mpagani
Punguza jazba mkuu! watu hatujalala kwa kufuatilia mtanange huu wa kukata na shoka.
Si wengine tunaamini sana mungu lakini unapokutana na mjadala kama huu ambao umewapambanisha WASIO AMINI na
WANAO AMINI ni vizuri kuufatilia kwa makini ili angalau tupate kitu fulani....haya back to the topic mkuu wangu
 
Wapi Rev.Fr Massanilo? karibu kwenye mtanange huu wa kiimani! kwani tumekusubilia toka jana....tunataka
kusikia chochote toka kwako. Ila nakusihi usiwe na jazba maana hapa kunatimbwili si mchezo....watu wanataka
hoja zilizoshiba na siyo blah blah. Mie mwenzako nimebaki kuwa mtazamaji tu. Karibu sana mkuu
 
Nilishawahi kumpa mungu nafasi ya kuniua hapa, akashindwa, achilia mbali ugonjwa wa moyo. Mimi niko hapa kupinga ignorance, na belief in a god is part of that ignorance. We must fight ignorance with all might. Ukiangalia signature yangu utajua nasimamia wapi kwenye swala zima la supernatural beliefs, sio tu mungu. Naweza kusema hata umasikini wetu Tanzania unaendana na imani hizi za supernatural, kama za mungu. Wachimba madini huko Mererani wanakufa, rais anasema kirahisi tu "Hii ni kazi ya mungu" bila kuangalia suala zima la usalama katika process ya uchimbaji wa madini. Nchi haina umeme, rais basically anasema yeye si mungu na hana uwezo wa kunyesha mvua. Kwa hiyo utaona jamii inayoamini mungu inamtumia mungu kukwepa responsibility yake, umasikini unakuwa explained kama "kazi ya mungu" na utajiri kama "bahati" na "kazi ya mungu pia" Kuna mtu katuambia hapa mafanikio yake yanatokana na zaka. Ni ujinga kama huu unaotokana na imani ya mungu ndio unaoniuma zaidi kuliko imani yenyewe tu.
kiranga ukitaka kumjua mungu nakushauri usome biblia,esp mungu ninayemjua ni mungu,wengine tunasema ni miungu,huwezi kuprove kama yupo kwa kumwambia akuuwe hapa,hapa najua ni ngumu kukuelewesha wewe mpagani
 
Kwamba hayo majengo yalikua imara kuliko mengine?!

hold on dude.. mtu akijibu kwamba hayo majengo ni imara kuliko mengine sintomuelewa ... nakupa mfano wa japani ...

mtu atakaye jibu hivi ajiulize hili swali ujenzi wa kile kinu cha nuclear "kilichopata madhara ya tsunami" ujenzi wake upo weak compare na ule msikiti ulio simama imara ...?

talking about tiba, science & evrything vimeelezewa ndani ya qur an yetu... am not sure about wenzetu but kwetu sisi kila kitu kimo ndio maana once niliwahi kumwambia mtu kule kwenye jukwaa la dini wasomi waliobobea wa science ya quran wanasema quran is a book of signs not science .. coz alikuwa aki expect zile expolanations za kisayansi ziwepo moja kwa moja zimeelezewa ndani ya qu-ran yetu as if ni kile kitabu cha universal physics ..!
 
Kama mungu yupo, ana nguvu zote, upendo wote na uwezo wote, kwa nini kaachia watoto maskini wa KiHaiti wafe en masse huko Haiti kwenye tetemeko la ardhi?

Ina maana hakuwa na uwezo wa kuwaokoa, la hasha, tushasema ana uwezo wote.

Ina maana hakupenda tu kuwaokoa, la hasha, tushasema ana upendo wote.

Sasa kwa nini hakuwaokoa basi?

Hakuwaokoa kwa sababu mungu huyu hayupo, ni character wa kutungwa kama katika hadithi za kufikirika.

Mimi binadamu ambaye sijafikia hekima yote na upendo wote nishajua kwamba nikiwa na uwezo wa kuwaokoa watoto wasio hatia nitawaokoa, seuze mungu mwenye upendo wote na uwezo wote?
Kiranga;
Unajuaje kama Mungu anachukulia kifo "negative" in as much the same way kama unavyofikiria wewe, au mimi? Kama wewe ulizaliwa bila kuandika barua ya maombi kwamba uzaliwe na Mzee Kiranga, let's say, ina maana ulijikuta tayari upo duniani bila hiari yako. Kwa nini unamgeuka Mungu hutaki kuondoka duniani bila hiari yako, wakati ulikuja bila hiari?
Kuhusu hao waliogundua ExoEarth star, nadhani ndiyo inabidi wazidishe imani zaidi kwa Mungu. Kama wanataka otherwise, watengeneze/waumbe universe nyingine ya kwao pasipo kutumia hata vacuum iliyopo, achilia mbali hewa. Offer pekee ya kutumia kwenye process nzima iwe tu ni viungo vyao, ambavyo pia navyo ki-haki walitakiwa wasivitumie kwa sababu hawakuvitengeza/kuviumba. Ninavyojua mimi, Cosmologists/Astronomers ni kati ya watu ambao wengi wao wanamwamini sana Mungu kuzidi idadi kubwa sana ya watu wanoingia makanisani, misikitin na kwenye mahekalu!
 
Aliyekwambia kufa ni kubaya ni nani?ushawahi kufa au kufanya research ya waliokufa wakasema ni adhabu na ukadhibitisha Mungu ni mbaya kwa kuwa hakuzuia wasife?

Zion, Umenifurahisha sana leo, Unajua kwa imani yangu mimi siku yangu ya kwenda mbinguni ikifika lazima nife ili niuache mwili huu wa nyama niungane na Mungu ambaye ni roho kwa hiyo kufa siyo kubaya inategemea unakufaje, dhambini au ndani ya Yesu.
 
Back
Top Bottom